Mkwawa High School mpo?

Mwaka gani?
 
nimekumbuka mbali sana
mwl masatu kunikamata nikiota jua nakuniimbishq nyimbo ya shule
makamu mzee tende kunilazimisha kuimbisha mwenge ndio kwanza nilikuwa nimeripoti form five
kuoga wk to wk
kuna watu walikuwa wanakula bata hawachukuliwi hatua kali pale ngazi 15,ila ikitokea kwako utajuta
nilikuwa pale pcm m1 ofcourse nimefurah kusoma maelezo ya wadau.
 
Mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…