Mkwara wangu wakutafuna nyembe

secretarybird umemuona role model wako😃😃
Mi mwenyewe Jana wakati nikiwa kwenye basi naelekea nyumbani nilikuwa naposti humu JF, kuangalia nyuma nikamwana jamaa mmoja anaangalia jinsi nilivyokuwa nasifia punyeto.

Aisee nikipata hasira nikamwangalia kwa jicho Kali sana hadi akaanza kutetemeke......

NILIMSAMEHE NA HAIKUWA KAWAIDA YANGU.

adriz
 
Kumbe unasifiaga punyeto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…