Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
adriz hydroxo PSL god Mufti kuku The Infinity ChaliifranciscoAma kweli wewe' ni busu la kenge... Kalale sasa
Ipi Hiyo mkuu? Ama Ile ya Anoldi akimshirikisha Dennis Robert Shughuru kama guest starring?Umenikumbusha movie ya SARADINI
Ni ya kibongo ya kitambo kidogoIpi Hiyo mkuu? Ama Ile ya Anoldi akimshirikisha Dennis Robert Shughuru kama guest starring?
Semenya acha porojo jamvini.
Hahaha dogo inakuwaje?Semenya acha porojo jamvini.
Fanya kazi.
Tunakosa maufundi ya Lamine yamal.Hahaha dogo inakuwaje?
Barca haipo MCWC USA
Ata kuambia yeye ni 45 hachekeshiJina lako nani?
Yani Barca ingekuwepo watu wangejaa kwasababu ya LamineTunakosa maufundi ya Lamine yamal.
Mashindano hayana tofauti na ndondo cup.
HahahaAta kuambia yeye ni 45 hachekeshi
Oya Jombis hiyo de mbusi itakuponza nakuchora tu ujae kwenye 18