Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,131
- 35,173
Ni wakati wa Jiwe kutengeneza scenario tamu hapa!
Si ajabu akatengua uteuzi wa mtu.
Alishawatengua akina Charle labda tumshauri abwage manyanga.BM yupo anaweza diplomacy hadi ya uchumiNi wakati wa Jiwe kutengeneza scenario tamu hapa!
Si ajabu akatengua uteuzi wa mtu.
Mtego mpya huu, panya hawajaustukia au nini?? Hivi kuna mtu atathubutu kupanda bus linaloelekea Ntwala afike athubutu kusema ni mnunuzi wa korosho?? Je, akipigiwa yowe kuwa ni kangomba!!!!Hakuna tena sababu ya kusubiri au kutafuta mchawi bali ni wakati muafaka wa kwenda kuokoa jahazi, na shughuli za uokozi zinapaswa kufanywa na wazalendo zaidi. Na sote tunajua, wazalendo halisi wako CCM.
WanaCCM msisubiri kuja kupongeza tu kila mara, ila sasa ndio wakati muafaka wa kuonyesha uzalendo wenu kwa vitendo. Chonde chonde popote pale mlipo, makada wa CCM jitoeni kimasomaso kwenda kusini kununua na kubangua korosho. Wakati ndio huu.
Hashauriki. Much-know. Anajua kila kitu. Ni PhD holder you know...😎Vijana wa ccm wao wakikaa kwenye vikao vyao vya wizi wizi maazimio yao makubwa ni kumpongeza rais badala ya kumshauri.
HoyeeMiongoni mwa habari kubwa kwa sasa hapa nchini inayozungumziwa ni kuhusu mkwamo wa ununuaji na ubanguaji wa korosho. Hali ya mambo sio nzuri tena. Tumekwama.
Kila mtu anamtupia mpira mwenzake. Jeshi limeshanawa mikono kwa kusema linakwamishwa na utendaji wa taratibu na urasimu wa maafisa husika, timu ya wataalamu inasema zoezi la kubangua huenda litachukua miaka 2-14, Waziri husika ameamua kuwapigia magoti wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi waje tena mezani kununua na kubangua korosho, wakulima nao wanalalamika kudhulumiwa korosho zao kinguvu. Kiujumla mambo yameharibika.
Hakuna tena sababu ya kusubiri au kutafuta mchawi bali ni wakati muafaka wa kwenda kuokoa jahazi, na shughuli za uokozi zinapaswa kufanywa na wazalendo zaidi. Na sote tunajua, wazalendo halisi wako CCM.
WanaCCM msisubiri kuja kupongeza tu kila mara, ila sasa ndio wakati muafaka wa kuonyesha uzalendo wenu kwa vitendo. Chonde chonde popote pale mlipo, makada wa CCM jitoeni kimasomaso kwenda kusini kununua na kubangua korosho. Wakati ndio huu.
CCM Oyeee.
Hapa kazi tu.
Hashauriki. Much-know. Anajua kila kitu. Ni PhD holder you know...
Hawa hapaMiongoni mwa habari kubwa kwa sasa hapa nchini inayozungumziwa ni kuhusu mkwamo wa ununuaji na ubanguaji wa korosho. Hali ya mambo sio nzuri tena. Tumekwama.
Kila mtu anamtupia mpira mwenzake. Jeshi limeshanawa mikono kwa kusema linakwamishwa na utendaji wa taratibu na urasimu wa maafisa husika, timu ya wataalamu inasema zoezi la kubangua huenda litachukua miaka 2-14, Waziri husika ameamua kuwapigia magoti wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi waje tena mezani kununua na kubangua korosho, wakulima nao wanalalamika kudhulumiwa korosho zao kinguvu. Kiujumla mambo yameharibika.
Hakuna tena sababu ya kusubiri au kutafuta mchawi bali ni wakati muafaka wa kwenda kuokoa jahazi, na shughuli za uokozi zinapaswa kufanywa na wazalendo zaidi. Na sote tunajua, wazalendo halisi wako CCM.
WanaCCM msisubiri kuja kupongeza tu kila mara, ila sasa ndio wakati muafaka wa kuonyesha uzalendo wenu kwa vitendo. Chonde chonde popote pale mlipo, makada wa CCM jitoeni kimasomaso kwenda kusini kununua na kubangua korosho. Wakati ndio huu.
CCM Oyeee.
Hapa kazi tu.
oyee!Miongoni mwa habari kubwa kwa sasa hapa nchini inayozungumziwa ni kuhusu mkwamo wa ununuaji na ubanguaji wa korosho. Hali ya mambo sio nzuri tena. Tumekwama.