MKWAMO WA KOROSHO: Makada wa CCM sasa ndio wakati wenu muafaka kwenda kuokoa jahazi!

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
6,786
2,000
Miongoni mwa habari kubwa kwa sasa hapa nchini inayozungumziwa ni kuhusu mkwamo wa ununuaji na ubanguaji wa korosho. Hali ya mambo sio nzuri tena. Tumekwama.

Kila mtu anamtupia mpira mwenzake. Jeshi limeshanawa mikono kwa kusema linakwamishwa na utendaji wa taratibu na urasimu wa maafisa husika, timu ya wataalamu inasema zoezi la kubangua huenda litachukua miaka 2-14, Waziri husika ameamua kuwapigia magoti wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi waje tena mezani kununua na kubangua korosho, wakulima nao wanalalamika kudhulumiwa korosho zao kinguvu. Kiujumla mambo yameharibika.

Hakuna tena sababu ya kusubiri au kutafuta mchawi bali ni wakati muafaka wa kwenda kuokoa jahazi, na shughuli za uokozi zinapaswa kufanywa na wazalendo zaidi. Na sote tunajua, wazalendo halisi wako CCM.

WanaCCM msisubiri kuja kupongeza tu kila mara, ila sasa ndio wakati muafaka wa kuonyesha uzalendo wenu kwa vitendo. Chonde chonde popote pale mlipo, makada wa CCM jitoeni kimasomaso kwenda kusini kununua na kubangua korosho. Wakati ndio huu.

CCM Oyeee.
Hapa kazi tu.
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
7,217
2,000
Wao ndio wazalendo halisi wakaokoe jahazi na kuthibitisha uzalendo wao kwa wanakusini kama siku zote wanavyojitanaibisha.
Kuna mambo hayahitaji ubabe zaidi ya utaalamu husika. Nimesikitika baada ya yule mtaalamu wa maswala ya korosho toka India alipotoa ushauri wake na hawakumsikiliza.
Sasa napata ukakasi juu ya maana uzalendo wanayoijua hawa waliomeza maji ya kijani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,553
2,000
Hakuna tena sababu ya kusubiri au kutafuta mchawi bali ni wakati muafaka wa kwenda kuokoa jahazi, na shughuli za uokozi zinapaswa kufanywa na wazalendo zaidi. Na sote tunajua, wazalendo halisi wako CCM.

WanaCCM msisubiri kuja kupongeza tu kila mara, ila sasa ndio wakati muafaka wa kuonyesha uzalendo wenu kwa vitendo. Chonde chonde popote pale mlipo, makada wa CCM jitoeni kimasomaso kwenda kusini kununua na kubangua korosho. Wakati ndio huu.
Mtego mpya huu, panya hawajaustukia au nini?? Hivi kuna mtu atathubutu kupanda bus linaloelekea Ntwala afike athubutu kusema ni mnunuzi wa korosho?? Je, akipigiwa yowe kuwa ni kangomba!!!!
Acheni boss atamke mwenyewe kwa sababu hata hiyo bank kama haina tena mteja ndio itakukopesha hizo hela. Halafu nauliza; Ni kwamba twende kununua korosho na kwenda nazo India au tutazibangulia huko huko Ntwala?? Je kiwanda cha kubangulia huchukua siku ngapi kujengwa?? Maanake vile vya zamani si vimehodhiwa kwa sasa?? Ni mawazo yangu potofu tu wala msiyasome
 
popbwinyo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,913
2,000
Miongoni mwa habari kubwa kwa sasa hapa nchini inayozungumziwa ni kuhusu mkwamo wa ununuaji na ubanguaji wa korosho. Hali ya mambo sio nzuri tena. Tumekwama.

Kila mtu anamtupia mpira mwenzake. Jeshi limeshanawa mikono kwa kusema linakwamishwa na utendaji wa taratibu na urasimu wa maafisa husika, timu ya wataalamu inasema zoezi la kubangua huenda litachukua miaka 2-14, Waziri husika ameamua kuwapigia magoti wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi waje tena mezani kununua na kubangua korosho, wakulima nao wanalalamika kudhulumiwa korosho zao kinguvu. Kiujumla mambo yameharibika.

Hakuna tena sababu ya kusubiri au kutafuta mchawi bali ni wakati muafaka wa kwenda kuokoa jahazi, na shughuli za uokozi zinapaswa kufanywa na wazalendo zaidi. Na sote tunajua, wazalendo halisi wako CCM.

WanaCCM msisubiri kuja kupongeza tu kila mara, ila sasa ndio wakati muafaka wa kuonyesha uzalendo wenu kwa vitendo. Chonde chonde popote pale mlipo, makada wa CCM jitoeni kimasomaso kwenda kusini kununua na kubangua korosho. Wakati ndio huu.

CCM Oyeee.
Hapa kazi tu.
Hoyee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,137

Hawa hapa
IMG-20180811-WA0018.jpg

IMG-20180807-WA0008.jpg
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,723

oyee!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom