Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habarini wadau,
Jamani nashindwa kuelewa kama nimerogwa au tatizo ni nini yani mkuyati wangu unasimama kila mara hasa nikikutana na binti mrembo, kiukweli napata tabu sana huko mabarabarani na kuna wakati mwingine unasimama tu bila taarifa, sasa sijui ndo tatizo.
Mwenye uzoefu na hii hali aniambie dawa yake.