Mkuu wilaya ya Kinondoni ndani ya vazi la mgambo

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,409
13,262
13151681_1057285230998050_5286947802058528649_n.jpg
13133156_1057285224331384_3774171712609179145_n.jpg
13221757_1057285300998043_2631514125464471136_n.jpg
13173711_1057285270998046_7522297993152927202_n.jpg
13221757_1057285300998043_2631514125464471136_n.jpg
 
Kwani kuna uteuzi wa wakuu wa mikoa hivi karibuni? Au anahisi asipojitutumua mkulu anaweza akampiga chini kwenye uteuzi wa ma dc wapya? In Bongo, wonders shall never end!
 
huyu jamaa ananishangaza sana huu mtindo gani wa utendaji kazi? wao wanatafuta namna ya kufukuza kazi watu sio kuwajengea mazingira rafik ya kaz ana ndugu zake madokta na manes nn? kwa nn hawawaiti hao wafanyakaz wa afya na kukaa nao chini kutataua kero zao na namna ya kutoa huduma bora huyu kakosa ubunifu kabisa yani
 
Back
Top Bottom