Mkuu wa wilaya ya Lushoto

Mkuu wa wilaya ya Lushoto

saidury

Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
36
Reaction score
2
DC wa Lushoto ndg. Majidi Mwanga kweli ni mwanamichezo, leo nimeshanga akiwa katika mazoezi na vijana mbalimbali wa chuo kikuu cha sekomu na chuo cha mahakama IJA na baadhi ya askari mchanganyiko na vijana wa mtaani katika kiwanja karibu na kituo cha police.

Sio rahisi kwa viongozi wetu kujichanganya kama kaka huyu .Anaitaji pongezi sana mkuu huyu wa wilaya ya Lushoto.
 
Mwenye JOB DESCRIPTION ya maDC anirushie hapa ili nipime kama anatimiza wajibu, asijekuwa anaficha udhaifu wake kiwanjani.
 
Ukuu wa wilaya ni cheo cha fadhila kwa ccm
 
Sasa hiki ni kipengere kipi cha majukumu ya kazi yake aliyopangiwa!
Ushabiki mwingine bana! Kuna siku utakuja kumsifia humu eti anakula pilau kwenye Hitma huyoo!!!
 
Back
Top Bottom