jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
mkuu wa wilaya ya Lindi awataka bodaboda kulipa kodi ya mapato sh. 150,000 kwa mwaka.
Amesema kuwa ni lazima walipe kwa sababu ni sheria na kudai kuwa yeye hatungi sheria ila anasimamia sheria maana imetungwa na bunge.
Kwa hii hali naona kuna vuta nikuvute itatokea Kati ya bodaboda na serikali maana licha ya kujitetea kuwa wanalipia vitu vingine kama BIMA lakini bado wameambiwa kulipa ni lazima.