Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ni shida

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ni shida

Nimewahi kufanya kibarua ambacho mara kwa mara nilikuwa nalazimika kukutana na watu wa halmashauri... trust me, ukiona DC haelewani na watu wa halmashauri basi possibly huyo DC anafanya kazi yake. Watu wa halmashauri ni majanga... ni bahati mbaya sana watu huwa tunaangalia mambo at national level lakini huko halmashauri ni full majanga! Ukiona DC anaelewana na watu wa halmashauri basi fahamu kuna tatizo...! Uzoefu wangu unanionesha kwamba, DC ukitaka kufanya kazi yako kama inavyopaswa, utachukiwa na watu wa halmashauri hadi na mbunge/wabunge wa halmashauri husika. Ukiangalia pesa zinazotafunwa huko halmashauri, unaweza kufa ukiwa umesimama! Jaribu mara moja usimame jirani na NMB siku ya June 30 uone watu wa halmashauri wanavyohangaika na cheki zao mkononi kwa ajili ya ON & OFF ili kubalansisha vitabu! Kama wewe ni jambazi halafu Siku ya 30/06 ukaona hawa jamaa na lundo la cheki wanaenda benki, wala usijisumbue kuwalia mingo... hawatatoka hata na senti tano... fahamu wameenda kubalansisha vitabu, pesa ya a/c hii imeenda kule; ya kule huku... ukihesabu cheki zao, unaweza kukuta zaidi ya 10 lakini hawatoki na hela!

Na hicho ndo anachokifanya huyo DC, angalia vzr falsafa yake ya mpini, shoka na msitu
 
Kwel ni sheeda ujenz wa maabara huko korogwe walimu wamechangishwa35000 kwa lazima ukiwa huna unawekwa rumande mpaka ulipe .Wanaoandamana ni mawakala wake ila huyu jamaa ni mbabe hasa kwa walimu nalaan manyanyaso kwa walimu .

Walimu wanashindwa kusimamia haki zao?
Chama cha walimu kinafanya nn?
DC ana mamlaka gani kisheria kuingilia mambo ya ajira ya mtumishi?
Nifahamuvyo kwenye mambo ya anayetambulika ni DED.
 
Nimewahi kufanya kibarua ambacho mara kwa mara nilikuwa nalazimika kukutana na watu wa halmashauri... trust me, ukiona DC haelewani na watu wa halmashauri basi possibly huyo DC anafanya kazi yake. Watu wa halmashauri ni majanga... ni bahati mbaya sana watu huwa tunaangalia mambo at national level lakini huko halmashauri ni full majanga! Ukiona DC anaelewana na watu wa halmashauri basi fahamu kuna tatizo...! Uzoefu wangu unanionesha kwamba, DC ukitaka kufanya kazi yako kama inavyopaswa, utachukiwa na watu wa halmashauri hadi na mbunge/wabunge wa halmashauri husika. Ukiangalia pesa zinazotafunwa huko halmashauri, unaweza kufa ukiwa umesimama! Jaribu mara moja usimame jirani na NMB siku ya June 30 uone watu wa halmashauri wanavyohangaika na cheki zao mkononi kwa ajili ya ON & OFF ili kubalansisha vitabu! Kama wewe ni jambazi halafu Siku ya 30/06 ukaona hawa jamaa na lundo la cheki wanaenda benki, wala usijisumbue kuwalia mingo... hawatatoka hata na senti tano... fahamu wameenda kubalansisha vitabu, pesa ya a/c hii imeenda kule; ya kule huku... ukihesabu cheki zao, unaweza kukuta zaidi ya 10 lakini hawatoki na hela!

And the vice versa is true! Mkuu hapo kuna mambo mawili inawezekana ulichosema ikawa ni kweli, lakini pia DC anaweza kuwa na chuki na watu Wa halmashauri kwa kukatiwa mirija ya unyonyaji. Mara nyingi bajeti ya DC huwa haiko vizuri kihivyo, Mara nyingi huwa wanapigwa jeki na DED, sasa ukikuta DED naye haendekezi ujinga hapo ndo huwa mwanzo Wa chuki! Sasa kwa Gambo unawezakuta naye ana hasira na halmashauri kwa vile mirija imezibwa!! Huko chini hakuna aliyemsafi, ndani ya ccm wote wameoza!!
 
Nadhani unajua maana ya tuhuma unaweza kutengenezewa tuhuma hata na wabaya wako hapa jambo la maana ni kusubiri matokeo ya mahojiano yanasema nini kama katiwa hatiani ndipo tuseme neno lakini huwezi kusema neno kwa tuhuma tu hata ukiangalia waliyokuwa wanasema wananchi kama ya kuzuia watu wa bodaboda wasitozwe ushuru marambili ni mambo ya msingi sana.
 
umenifanya ni cheke sana Mkuu... so kauli yake ya "Degree ya Chupi" ndo ilimpeleka kwenye Tume ya Maadili? Mbona hiyo Tume haikumuita Juma Nkamia alipowatukana wabunge kwa kuwaita MBWA? ... Gambo huwa simfagilii kabisa lakini kwa kitendo kile cha kuongea ya moyoni bila kusita baada ya mwanasheria kuonyesha udhaifu wa wazi alikuwa sahihi kwa kiasi fulani...
Degree ya chupi kwani ye ni fundi cherehani?
 
Kumbe unajua kuwa CCM mnaudhaifu mkubwa sana wa kimfumo na kiuongozi ee... Mbona Lowassa pekee aliwaadabisha? Pinda anashindwa nini?...
Halmashauri kunamambo ya kishenzi mno acha gambo awashughulikie pengine watakuwa na akili wezi sana.
 
Kupokelewa kwa shangwe na watu wengi si kitu kigumu kama wengi walivyosema hapo juu. Ilitakiwa mleta maada alezee kikamilifu na sio kuandika tu kichwa cha habari. Kama mleta mada ameona huyo kiongozi ni mtetea haki, na analeta maendeleo inabidi uandike yalee maendeleo alioleta au aliofanya. Binafsi kila nikija hapo korogwe naona pako vile vile hata hiyi buss station wameshindwa kuweka taa za usiku, giza kama nini.
Ilikupata maendeleo inabidi tuwekw mambo kiuwazi ili kuwza kujadili kiundani.
 
Nimewahi kufanya kibarua ambacho mara kwa mara nilikuwa nalazimika kukutana na watu wa halmashauri... trust me, ukiona DC haelewani na watu wa halmashauri basi possibly huyo DC anafanya kazi yake. Watu wa halmashauri ni majanga... ni bahati mbaya sana watu huwa tunaangalia mambo at national level lakini huko halmashauri ni full majanga! Ukiona DC anaelewana na watu wa halmashauri basi fahamu kuna tatizo...! Uzoefu wangu unanionesha kwamba, DC ukitaka kufanya kazi yako kama inavyopaswa, utachukiwa na watu wa halmashauri hadi na mbunge/wabunge wa halmashauri husika. Ukiangalia pesa zinazotafunwa huko halmashauri, unaweza kufa ukiwa umesimama! Jaribu mara moja usimame jirani na NMB siku ya June 30 uone watu wa halmashauri wanavyohangaika na cheki zao mkononi kwa ajili ya ON & OFF ili kubalansisha vitabu! Kama wewe ni jambazi halafu Siku ya 30/06 ukaona hawa jamaa na lundo la cheki wanaenda benki, wala usijisumbue kuwalia mingo... hawatatoka hata na senti tano... fahamu wameenda kubalansisha vitabu, pesa ya a/c hii imeenda kule; ya kule huku... ukihesabu cheki zao, unaweza kukuta zaidi ya 10 lakini hawatoki na hela!

Kinyume chake pia ni sahihi. Baadhi ya Mdc huomba fedha na mafuta ya magari kwa Maded. Kwa taarifa yako karibu madc wote ni omba omba. Ugomvi mwingi kati ya council na madc hutokea katika eneo hili.
Wengi wa madc hawana financial discipline.
Fuatlia.
 
Tatizo la MRISHO hana busara tu,ila kufanya kazi kwa maneno anaweza,mbona wwenzake kina NAWANDA,hassan ELIAS ni wachapa kazi na hawana matusi
 
Back
Top Bottom