Mkuu wa Wilaya ya Bunda amdhalilisha mwalimu

kasahunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
222
Reaction score
45
mkuu wa wilaya ya bunda joshua mirumbe amemdhalilisha mwalimu wa shule ya msingi kung'ombe kwa kumpinga ngumi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya.kisa kilichosababisha mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu huyo ngumi ni mwalimu huyo kuwa upande wa upinzani badala ya kuwa ccm.je ni haki mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu ngumi kwa kuwa hayuko upande wa chama cha mteule wake.
 
Siasa hairuhusiwi kwa watumishi
 
Ndiyo maana tunataka hiki cheo cha ukuu wa wilaya kifutwe. Kwa mantiki ya ilivyo sasa, Mkuu wa wilaya anakitumikia chama zaidi ya kuwa neutral na kuwatumikia wananchi wote wa kwenye wilaya yake bila kujali itikadi.
 
huyo mwalimu alienda kufanya nini kwa mkuu wa wilaya? Na apigwe tu
 
mkuu wa wilaya ya bunda joshua mirumbe amemdhalilisha mwalimu wa shule ya msingi kung'ombe kwa kumpinga ngumi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya.kisa kilichosababisha mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu huyo ngumi ni mwalimu huyo kuwa upande wa upinzani badala ya kuwa ccm.je ni haki mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu ngumi kwa kuwa hayuko upande wa chama cha mteule wake.

Hapo si suala Kuwa chama cha upinzani kama ukithibitika kamdunda kweli afukuzwe kazi hao ndio wale wahuni waluoteuliwa kwa influence za mhuni mwenzao Liz. Apishe wenye maadili.
 
Inasikitisha sana

mkuu wa wilaya ya bunda joshua mirumbe amemdhalilisha mwalimu wa shule ya msingi kung'ombe kwa kumpinga ngumi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya.kisa kilichosababisha mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu huyo ngumi ni mwalimu huyo kuwa upande wa upinzani badala ya kuwa ccm.je ni haki mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu ngumi kwa kuwa hayuko upande wa chama cha mteule wake.
 
Siasa hairuhusiwi kwa watumishi
kaka mdeki ni kwanini inakuwa upande mmoja tu. kwani kuna mwalimu mmoja wa shule ya msingi mingugani ni katibu mwenezi wa ccm wilaya kwani huyo mbona ana ruhusu kufanya hivyo.
 
Huyu ndo yule aliewaingizia chupa za pililipili vijana wa CDM matakoni wakati wa uchaguzi mdogo wa Manchira?
 
Hivi vyeo vya kuteuliwa afadhali vifutwe au ziwepo conditions kuhakikisha wateule ni watu makini.
 
huyo mwalimu alienda kufanya nini kwa mkuu wa wilaya? Na apigwe tu
Chabruma mkuu wa wilaya alimtuma d.e.o kumfuta shuleni kwake na kumpeleka kwa mkuu wa wilaya. na mwalimu alipigwa mbele ya afisa utumishi wa wilaya, mkurungezi wa wilaya, katibu wa tsd wa wilaya na afisa elimu wa wilaya.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndo yule aliewaingizia chupa za pililipili vijana wa CDM matakoni wakati wa uchaguzi mdogo wa Manchira?
ndiye huyo aliyetumia askari magereza.kufanya unyama huo huko katika kata ya manchira.
 
Mwl asichelewe afanye haraka sana huyo DC atemeshwe kazi hivi amesahau ya MNARI kule Kagera aliyewatandika viboko walimu na ukuu wa wilaya ukaishia pale pale. Mwl angempiga tu huyo DC kaonyesha udhaifu mkubwa sana
 
saa yaja mnyonge ataheshimika;mwenye nguvu atadhoofishwa.
 
kaka mdeki ni kwanini inakuwa upande mmoja tu. kwani kuna mwalimu mmoja wa shule ya msingi mingugani ni katibu mwenezi wa ccm wilaya kwani huyo mbona ana ruhusu kufanya hivyo.

Ndiyo hivyo ndugu hairuhusiwi kwa upande mmoja
 
"Tumefika hapa kwa sababu ya serikali DHAIFU ya CCM,wabunge DHAIFU wa CCM na rais DHAIFU wa CCM"

J.J. Mnyika
 
Back
Top Bottom