Mkuu wa Wilaya ya Bunda amdhalilisha mwalimu

Mkuu wa Wilaya ya Bunda amdhalilisha mwalimu

Kama kuna kundi ambalo lina nafasi ya kuigwa kwa mitazamo yao juu ya ustawi wa jamii,siasa na uchumi wa taifa lolote ni kundi la waalimu,maana wao ndio kundi pekee linalojenga watu kukua ktk afya ya akili,mwili na roho.hivyo hatuna budi kujadili nao juu ya mstakabali wa uhai wa taifa letu kuliko kugombana nao na kuwabeza.hakika ni hatari kwa ustawi wa jamii yetu.
 
Mr. Kasahunga mbona wasomaji tumeshidwa kukuelewa vizuri? Hivi Mkuu Wa Wilaya "alimpinga ngumi" Mwalimu au alimpiga ngumi . Fafanua tafadhali
 
Ndiyo maana tunataka hiki cheo cha ukuu wa wilaya kifutwe. Kwa mantiki ya ilivyo sasa, Mkuu wa wilaya anakitumikia chama zaidi ya kuwa neutral na kuwatumikia wananchi wote wa kwenye wilaya yake bila kujali itikadi.

Lyimo mimi nadhani huyu Mwl.alitawaliwa na hofu alikuwa na haki ya ku retaliate accordingly and propotinately.Hii biashara ya kuacha -------- ana kudhalilisha dhalilisha ni kuwa endekeza .Hapo ilitakiwa amuanzishie tifu la kutosha .Lazima tuwe wa staarabu lakini ni upuuzi kuacha kummaliza mtu aliyeanza kukuchokoza .Mtu akikuchokoza wewe mmalize kabisa usimpe fursa ya ziada kwa lugha nyingine akikulazimisha uende hatua moja mbele basi wewe nenda naye mbili kabisa hapo ndo atashika adabu.
 
Ndio walimu waamke sasa, maana wamezidi no kutuangusha, ccm sio wa kuwachekea hata kidogo, ni janga la kitaifa na kimataifa.
 
Back
Top Bottom