GE2025 Mkuu wa Wilaya Ilala: Mnapata Mikopo bila riba, muwe mabalozi wa Rais Samia msiwasikilize wanaoleta chokochoko na vurugu mtandaoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
"Nendeni mkawaambie kwamba ni nchi gani duniani inawapa watu wake mikopo isiyo na riba?. Wakaangalie, mara nyingi wanapenda ku- google vitu ambavyo vinavunja amani, wa- Google sasa vitu ambavyo vinajenga amani yetu"- amesema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo

Octoba 4, 2025 Mkuu wa wilaya ya ilala Edward Mpogolo ametaka wanufaika wa Mikopo ya asilimia 10 kuwa wazalendo wa kweli na kuposti mambo yanayoleta amani katika inchi.

Ameyasema hayo aliposhiriki katika hafla ya Ugawaji wa Pikipiki 39 na bajaji 6 kwa vikundi 6 vya Halmashauri ya jiji la dar es salaam ikiwa ni utekelezaji wa Utoaji mikopo jumuishi itokanayo na mapato ya asilimia 10 ya Halmashauri za mfano kwa Awamu hii ya kwanza

Huyu mpumbavu ni sehemu ya wajinga walioingia TISS kimchongo hadi kuifanya saivi TISS imejifia.

Hawa watu ndo wanapaswa kuanza kushughulukiwa vilivyo pale tu Nchi yetu itakapokombolewa na Wananchi na Jeshi lao JWTZ
 
Kwahiyo wanawahongo qmmk Takukuru wako wapi? INeC iko wapi?
 
"Nendeni mkawaambie kwamba ni nchi gani duniani inawapa watu wake mikopo isiyo na riba?. Wakaangalie, mara nyingi wanapenda ku- google vitu ambavyo vinavunja amani, wa- Google sasa vitu ambavyo vinajenga amani yetu"- amesema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo

Octoba 4, 2025 Mkuu wa wilaya ya ilala Edward Mpogolo ametaka wanufaika wa Mikopo ya asilimia 10 kuwa wazalendo wa kweli na kuposti mambo yanayoleta amani katika inchi.

Ameyasema hayo aliposhiriki katika hafla ya Ugawaji wa Pikipiki 39 na bajaji 6 kwa vikundi 6 vya Halmashauri ya jiji la dar es salaam ikiwa ni utekelezaji wa Utoaji mikopo jumuishi itokanayo na mapato ya asilimia 10 ya Halmashauri za mfano kwa Awamu hii ya kwanza

OCTOBER 29 TUNATOKA
 
Hee mkuu mbona unaongea kama unaota!, kwahiyo umetuona sisi tunashiba vimkopo vya bodaboda? halafu wewe unajizungusha tu mjini na kitambi chako kilicho kuzidi umri.
 
Na wanaopata hela bila kutumia nguvu na akili pia kama machawa na mafisadi inabidi waongeze kasi ya ubalozi pia✅🐼
 
Aliyekwambia tunaishi kwa hiyo mikopo nani?
Tunataka kutengeneza taifa litakaloishi vizazi na vizazi
 
Back
Top Bottom