MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mr. Tupa akihojiwa leo asubuhi na kipindi cha Nipashe kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani humo amejibu kwa ku-defend zaidi position yake huku akionyesha vifo hivyo ni NOTHING na vina kuwa habari hizo zimetiwa Chumvi. Akijibu swali kuhusu binti aliyeuwawa kishirikina alijibu kana kwamba ni kuku amekufa kwa kusema ni " KIFO CHA HUYO BINTI KILITOKANA NA KUBAKWA TU" na si vinginevyo. The way alivyosema ni kifo cha binti aliyekufa kwa kubakwa TU kinaonyesha amekichukulia simple na siyo kitu muhimu huku akisema vinavyotangazwa vinatiwa chumvi.
Kusema KULITOKANA NA KUBAKWA TU ameifananisha hiyo na ajali isiyoepukika au ameona kitu kidogo sana kwani hakuna mahali alipoonyesha kusikitishwa au kukerwa na kifo hiki.Matamshi haya ya mkuu wa Mkoa wa Mara yametusikitisha sana tuliokuwa tunasikiliza NIpashe asubuhi ile kwani anaonekana anakataa ukweli maksudi kwa ku dilute reality kwa lengo la kulinda mkate wake.
Hivi ni hadi wafe watu wengi kiasi gani ndo Mkuu wa mkoa aone ni kitu kizito badala ya kujaribu kuonyesha yuko informed na smart kwenye kazi yake while not that much.