HABARI YAKO YOTE IMEHARIBIWA NA HIKI KIPENGELEHivi huyu Hapi ni mtoto wa Warioba, kama ni wake basi hapa Warioba aliteleza au alipakaziwa. Hizi co akili ya warioba, mara nyingi mtoto hurithi matendo au akili.....
yuko makini ndio. tatizo anaharibiwa na sifa za kisiasa. akumbuke yeye hana kinga kama rais. kiongozi yeyote kijana awe makini makumbuke kuna kesho na keshokutwa....Hapi yupo makini muacheni afanye kazi yake....
Wewe uligundua nini pale baada ya kuangaliaUmemsikiliza lakini hujamuelewa,umeamua kuwa shabiki,kasikileze tena kwa umakini wote ,kuanzia maswali ya RC Hapi,viongozi wa idara mbalimbali waliotoa maelezo yao pale kwenye panel.
Sema jamaa alikua mkali sana
Unaweza kuta Hapi haijui historia hiyo maana alikuwa hajazaliwa na hasomi
Wasiwasi wangu historia ya Dr Kleruu na Mzee wa kihehe Mwamwindi isijirudie.
Unaweza kuta Hapi haijui historia hiyo maana alikuwa hajazaliwa na hasomi
Hakumpa nafasi. Ya kuongea. Huyu diwani wa chadema kila akitaka kuongea ananyamazishwA na kuambiwa. NitakushughulikiaHABARI YAKO YOTE IMEHARIBIWA NA HIKI KIPENGELE