Mh huyu mzee msameeni bure. He is right. unajua mambo ya uokoaji bila vifaa ni issue ngumu. na kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru jeshi la polisi kitengo cha uokoaji na JWTZ marine sikuona show zao kipindi kile kila wizara inajiuza kwa jinsi ilivyothubutu, ikaweza na sasa inasonga mbele. mnakumbuka ile ya MV Bukoba na ya juzi Spice Islander, walikuja wazamiaji wa kwa Zuma lakini wakasema meli iko mbali sana hawawezi kuzama na kutoa maiti.Nchi yetu hajawa tayari kwa uokoaji. ILA TZ NI HODARI SANA KUZIKA WATU KWENYE MAAFA. MV BUKOBA ZAIDI YA 1000 WALIZIKWA KWENYE MELI, JUZI ZENJI ZAIDI YA BUKU MBILI. Sijui ndo kafara na 2015??? Sheikh Yahya hayupo labda angetupa majibu