PostGE2025 Mkuu wa Mkoa wa DAR Albert Chalamila amefanya ziara kutathmini uharibifu wa mwendokasi Mbagala,aagiza mabasi yaanze kazi Novemba 20

PostGE2025 Mkuu wa Mkoa wa DAR Albert Chalamila amefanya ziara kutathmini uharibifu wa mwendokasi Mbagala,aagiza mabasi yaanze kazi Novemba 20

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, amefanya ukaguzi maalum katika eneo la Mbagala ili kujionea uharibifu uliotokea kufuatia tukio la maandamano lililotokea tarehe 29 Oktoba. Ukaguzi huo umefanywa kwa lengo la kutathmini athari zilizopata miundombinu ya mradi wa mabasi ya mwendokasi (BRT).

Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila alieleza kusikitishwa na vitendo vya baadhi ya waandamanaji vilivyoharibu miundombinu ya umma, akisisitiza kuwa uharibifu huo umeathiri huduma muhimu zinazotegemewa na wananchi wa Mbagala na maeneo jirani.

Ametangaza rasmi kuwa huduma za mabasi ya mwendokasi katika njia ya Mbagala, zilizositishwa kufuatia tukio hilo, zitaanza tena tarehe 20 Novemba kama kawaida. Ameeleza kuwa matengenezo yanayofanyika sasa yanahakikisha usalama wa abiria na ufanisi wa huduma hiyo pindi itakaporejea.

Amesisitiza pia kuwa serikali ya mkoa itaendelea kushirikiana na vyombo vya usalama na watendaji wengine kuhakikisha matukio ya uharibifu wa miundombinu ya umma hayajirudii, huku akiwaomba wananchi kulinda rasilimali hizo kwani ni mali yao na zinachangia kuboresha maisha ya kila siku


 
Sahivi kimara ni mwendo wa kutanua tu.waja wanajimwayamwaya kwenye njia za mwendokasi.
Mradi kwishney
Ni huzuni
 
Tutayachoma tena, yakianza tu tunapanda na madumu ya petrol lita tano tuna yaacha chini ya siti usiku, ukishuka unatupa sigara ndani.
 
Huu ujinga sasa.
Ndiyo lugha mnayoielewa ccm na polisi wao.

Mmeshatufanya wajinga na mmetuona wajinga ngoja tudhihirishe ujinga wetu kwenu.

Kila muandamanaji awe na angalau chupa ya petroli itapendeza, tutasherehekea diwali D9 kwa fataki zetu za kitanganyika.

Kila atakatepanda mwendokasi awe angalau na chupa ya petroli ukiingia unaiweka chini ya siti wazi, ukishuka piga kiberiti, wataelewa tu.
 
Mwananchi ukipanda usafiri wa mwendokasi uki hisi harufu ya petroli ujue nimo na lita tano yangu chini ya siti na kiberiti changu standby.

Nikifika mwisho wangu naliwasha, najilipa kodi yangu nasikia yana bima ya moto.
 
Mwananchi ukipanda usafiri wa mwendokasi uki hisi harufu ya petroli ujue nimo na lita tano yangu chini ya siti na kiberiti changu standby.

Nikifika mwisho wangu naliwasha, najilipa kodi yangu nasikia yana bima ya moto.
 
Back
Top Bottom