Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Naye mke wa Mkuu huyo wa Mkoa, Janet Simbakalia alisema wakati mume wake alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kutoka kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), walijua ni kumkomoa, lakini Mungu ameonesha shani yake kwa yale yote aliyofanya alipokuwa Kigoma.
Kitu ambacho nilikuwa sifahamu ni kwamba mtu akihamishiwa mkoani Kigoma anakuwa amekomolewa!
Nadhani sasa mama Kalia atakuwa amefurahi mumewe kuhamishwa toka Kigoma.
Hawa wenzetu huwa wanafanya kazi mbili. Kwanza kanisa halafu serikali na wananchi baadaye. Jamaa amepewa tuzo kutokana na kutekeleza matakwa ya kanisa ktk shughuli zake za kila siku za serikali. Kwa kusimamia mambo ya kanisa akiwa kama mtumishi wa serikali wakubwa huko Vatican wameona bora wamtunuku tuzo ili kuwatia moyo wakereketwa wengine wa kanisa kuendeleza hiyo ajenda. Kwa mwenendo huu Waislamu andikeni maumivu zaidi.
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa na jamii. Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa karibu miaka sita, na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Protas Rugambwa kwa niaba ya Papa katika misa ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye Kanisa la Bikira Maria mshindaji mjini Kigoma.
Simbakalia alitiririkwa na machozi wakati akikabidhiwa nishani hiyo kutokana na kutoamini kile anachokiona hali iliyofanya kanisa kuzizima kwa hali hiyo katika tuzo hiyo ambayo ni ya kwanza kutolewa kwa muumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma tangu kuanzishwa kwake. Akikabidhi medali na hati ya nishani hiyo, Askofu Rugambwa alisema imetolewa katika kuunga mkono Jubilee ya miaka 50 ya Tanzania Bara ambayo kanisa iliona haina budi kushiriki kwa hali na mali kwa kufanya kitu ambacho kitakumbukwa kwa miaka 50 mingine.
Askofu Rugambwa alisema Simbakalia kama kiongozi wa kijamii, alitumia wakati wake kulitumikia kanisa na kuonesha mchango wake na utumishi wake kwa kanisa bila kujali mamlaka na madaraka aliyonayo. Akisoma hati hiyo, Katibu wa Kanisa hilo Jimbo la Kigoma, Kiliani Teleba alisema anamtangaza Joseph Simbakalia kutoka Jimbo la Kigoma kuwa shujaa wa ukoo bora wa Mtakatifu Gregory Mkuu wa Daraja la Kiraia na kumpatia uwezo wa kutumia haki zote zinazotokana na hadhi hiyo. Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa.
Alisema amekaa Kigoma kwa zaidi ya miaka mitano, anaamini amefanya kile alichotumwa kuja kufanya na nishani hiyo ni heshima kwake wananchi wa Mkoa wa Kigoma na Tanzania kwa jumla kwa heshima waliyopewa ndiyo maana Mungu ameonesha uwezo wake kwa nishani hiyo na heshima aliyopewa. Naye mke wa Mkuu huyo wa Mkoa, Janet Simbakalia alisema wakati mume wake alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kutoka kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), walijua ni kumkomoa, lakini Mungu ameonesha shani yake kwa yale yote aliyofanya alipokuwa Kigoma.
Habari Leo
Kutunukiwa heshima hiyo kwako unaona ni kosa, je wanaotunukiwa heshima ya Alhaji na kuitwa Alhaji wawapo katika shughuli zisizohusu uulhaji inapokelewaje?

lazima Faizafoxy na Topical watakuja kulaani na kudai ni udini
Kikwete aliulizwa kwa zile nishani alizotoa.
Suala langu kwanini Papa asimpe nishani hiyo Dr Slaa? kwani naye kafanya mengi sana ikiwamo na kuibua ufisadi wa Meremeta, Epa na mingine mingi.mKwanini Simbakalia na sio Dr Slaa?
dudusHa ha ha ha ha! Hivi ingekuwaje kama Dr. Slaa angekuwa ndiye mtunukiwa? Kweli Mungu ana makusudi yake, tena mazuri sana.
"Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza"Ni ukweli usiofichika, huyu mgalatia ametimiza malengo yake alopewa na kanisa katika kuhakikisha ustawi mfumo kristo nchini. Alianza kazi hiyo akiwa NDC,kwa kuwapendelea na kuwapa ajira wakristo, hususani wakatoliki wenzake, na kusaidia kanisa kwa nguvu zake zote, huku akiwakandamiza waislam na uislam, akaendeleza mpango huo akiwa mkuu wa mkoa kigoma. Hivi ndivyo kanisa katoliki linavyofanya kazi Tanzania.
Karibuni watampa UTAKATIFU mkatoliki Julius Kambaragae Nyerere nae kwa kufanikisha kwa ustadi mkubwa kuweka mfumo kristo Tanzania.
Waislam tayari wameshaliona hilo, muda wa mapambano ni sasa! Kiongozi yoyote wa serkali atakefanya kazi zake kwa kupendelea mfumo wa kikristo, bila kufuata usawa basi kichwa chake halali ya waislam!
kalale ofile! Katamila omuguta!
Ni ukweli usiofichika, huyu mgalatia ametimiza malengo yake alopewa na kanisa katika kuhakikisha ustawi mfumo kristo nchini. Alianza kazi hiyo akiwa NDC,kwa kuwapendelea na kuwapa ajira wakristo, hususani wakatoliki wenzake, na kusaidia kanisa kwa nguvu zake zote, huku akiwakandamiza waislam na uislam, akaendeleza mpango huo akiwa mkuu wa mkoa kigoma. Hivi ndivyo kanisa katoliki linavyofanya kazi Tanzania.
Karibuni watampa UTAKATIFU mkatoliki Julius Kambaragae Nyerere nae kwa kufanikisha kwa ustadi mkubwa kuweka mfumo kristo Tanzania.
Waislam tayari wameshaliona hilo, muda wa mapambano ni sasa! Kiongozi yoyote wa serkali atakefanya kazi zake kwa kupendelea mfumo wa kikristo, bila kufuata usawa basi kichwa chake halali ya waislam!
Kikwete aliulizwa kwa zile nishani alizotoa.
Suala langu kwanini Papa asimpe nishani hiyo Dr Slaa? kwani naye kafanya mengi sana ikiwamo na kuibua ufisadi wa Meremeta, Epa na mingine mingi.
Kwanini Simbakalia na sio Dr Slaa?
swali zuri sana aisee... Hawa jamaa wanapendelea sana, ni bora hata wangempa diria au balozi ramia.. Kwani wale ni waley wazuri zaidi tena wao walihali sanavijana hadi kuwapa ajira za kuuza ungaKikwete aliulizwa kwa zile nishani alizotoa.
Suala langu kwanini Papa asimpe nishani hiyo Dr Slaa? kwani naye kafanya mengi sana ikiwamo na kuibua ufisadi wa Meremeta, Epa na mingine mingi.
Kwanini Simbakalia na sio Dr Slaa?
Mod unganisha mada hizi mbili zinaongelea jambo moja lile lile
- Papa Amtunuku nishani mkuu wa mkoa
- Mkuu wa Mkoa Mtwara atunukiwa nishana papa
Acha ndoto weye?
Ni Wakristo wengi mno wakatoliki wamebarikiwa na fedha na vyeo kumzidi sana yeye kwa mbali, bado unaiamini kauli yako?