Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kusimamisha shughuli za kimahakama (Mabaraza ya Kata)

Kwa hiyo chadema mmeanza kutetea matapeli wanaochukua ardhi za wanyonge?
....Unajiita JINGALAO...honestly unatarajia utuambie kitu tukusilolize kweli? Kama ningekuwa mods ningekupiga life ban as ni upumbavu kutarajia la maana kwa mtu aliye declare kuwa ni mpumbavu...
 
Yawezekana Makonda hayuko sahihi au hana mamlaka kusimamisha shughuli za mabaraza kisheria lkn uamjzi wake unajumbe mahususi kwa wenye mamlaka upya kuangalia weledi wa watendaji ktk mabaraza hayo.

Yericko usimpuuze kijana mwenzio jaribu kumuelewa. Kama mabaraza yapo kwa nini rate ya malalamiko iko juu??

Na most of their decisions are questinable?.
Mahakama zinatuhumiwa rushwa, Polisi wanatuhumiwa rushwa na kuyotekeleza baadhi ya majukumu yao, huduma za afya kadhalika, bado ardhi na hata manispaa kws hiyo tuvunje?
Asante mkuu,

Pia naongezea hayo mabaraza hayatakiwi mjini kwa mujibu wa Mhe. Jaji Ngwala mwaka 2010. Lazima tuheshimu maamuzi ya majaji (mahakama) pia wajumbe wa WT hudeal na CUSTOMARY LAWS. Je kwa eneo la mipaka ya Dsm Customary laws zinatumika kwnye Ardhi???. Mabaraza ya kata yanatumia sheria ya Ardhi namba 5/1999 (Ardhi ya kijiji) sheria ambayo Dsm haitumiki wana_Dsm wanatumia sheria Na. 4/1999. (Ardhi ya jumla)
 
Nyie wenye asili ya yule mnyama mwenye ndevu anayeishi kwenye mbuga za wanyama mna mtindio wa ubongo. Mh. Makonda ni brave man. Ni tume ipi imeiacha mahakama kwenye suala la rushwa? Haya mabaraza ni ya hovyo kabisa,hayana utaalamu na yamejaa rushwa. Hatushangai kuwatetea wahalifu. Mmetusamimishia mgombea katika cheo cha juu cha nchi mliyemshutumu ni mwizi na mkamuandama kama Makonda leo kiko wapi? Hata kama kuna kosa hapo lakini makosa ya hayo mabaraza ni sawa na wauwaji
 

Attachments

  • FB_IMG_1489650534783.jpg
    FB_IMG_1489650534783.jpg
    33.2 KB · Views: 23
Mi nadhani issue ya msingi hapa ni kuwa Bashite kaona haya mabaraza hayana watalaam wa sheria ndio maana amesema yasitishwe mpaka hapo baadae maana yake yatafutiwe hao wanasheria au mahakimu wanajua sheria kwa nilivoelewa na ninavozidi kuelewa baada ya kupitia maoni na comments za wadau
Kisheria hayatakiwi kuwa na legally qualified people. Sasa huku ni kubadili sheria? Question ni utaratibu ulioyumika
 
Nawakubali saa kenya huwezi ona mahakama zao zinachezewa kijinga hivi ni hapa tu kwetu kila anayeamka ana karipia mahakama na asiingiliwe na mtu yyte
 
Kisheria hayatakiwi kuwa na legally qualified people. Sasa huku ni kubadili sheria? Question ni utaratibu ulioyumika
Mayonene sheria hizi zimetungwa na wanadamu tena wawezaona ni hivi karibuni tu.

Wataka kusema kwa kuwa zimetungwa hata kama ni bad laws tuendelee tu kuwa nazo hata kama zinatumika tofauti na matarajio ya watunga sheria hizo??

Sisi ni binadamu sio mawe Mayonene.
 
Jingalao, yaani hujui matapeli yote yamehamia chadema? Akina lowasa sumaye nyalandu yooote yako huko,
Na hao wanaopiga cha juu, kwenye E-Pasport na Vitambulishi vya uraia wako Chadema!!
 
Uko sahihi kabisa, lakini kwa taarifa yako wanasiasa ndio baadhi ya vyanzo vinavyosababisha mahakama kushindwa kutoa haki. Sio mara moja au 2 mahakama zimekuwa zikiingiliwa na wanasiasa na kuwaamuru kesi ifanyike vipi. Hili limekuwa likifanywa sana na wanasiasa wa chama chake kwani ni chama dola. Kwa hiyo ni kweli alichosema Makonda lakini kwa tunaoelewa tunaona ni mnafiki fulani.
tofautisha kati ya kesi za kisiasa na kesi za migogoro ya ardhi
 
Tofautisha ,baraza na MAHAKAMAN ,CHADEMA mnatia huruma sana sasa mnakumbatia matapeli wa viwanja
Mkuu kama hujui unakaa kimya, hayo mabalaza yanasimama kama mahakama, yaani ni quasi judicial bodies, na ndo maana rufaa yoyote inayokatwa toka baraza LA nyumban na ardhi LA wilaya inaenda mahakama kuu inamaana baraza LA nyumba na ardhi LA wilaya linahadhi sawa na mahakama ya wilaya au mahakama ya hakimu mkaazi
 
Acha ushabiki, pamoja na madhaifu yake makondo hii haiondoi ukweli kuwa Mahakama zetu zinanuka Rushwa na ukandamizaji wa haki za wasionacho. Ripoti nyingi hata za haki za binadamu zimezungumzia suala hili. Lakini kwa ushamba na ulimbukeni wa masuala ya kijamii jambo hili lingepata legitemate kama lingezungumzwa na MANGE KIMAMBI
Tunaingia mwaka wa tatu wa utawala wa Mhe JPM. Nimekuwa nikisikia anatamba na kusifiwa na washabiki wake kuwa ananyoosha ama kunyorosha nchi - vipi huko kwenye rushwa na ukandamizaji wa mahakama zetu mkono wake haujafika hadi tuanze haya ya zima moto na kiki zisizoweza kuwa endelevu? Kwa maoni yangu, anachofanya Makondo ni ushahidi kuwa nchi haijanyooshwa, na haiwezi kunyooshwa kwa mkono wa chuma bali kwa kuunda na kuimarisha taasisi imara. Kila Mtanzania angependa kuona maisha na utawala bora, lakini tunakoelekea si kuzuri. Tunaiboa Tanzania sisi wenyewe kwa kuongozwa na mihemko na kusifia mafisadi waliojivisha ngozi ya uzalendo.
 
Yericko Nyerere Kaka Yeriko usitumie nguvu sana kimsingi Sheria no 7 hiyo uliyoitaja ni kwa halmashauri za Wilaya na imejikita zaidi kwa Ardhi ya Vijiji na ndiko mabaraza haya ya kata yanakopaswa kuwapo na suyo katika urban council kwa mama ya manispaa, miji na majiji.

Kwa misingi hijo mh. Mkuu Wa Mkoa amefuta chombo ambacho kisheria Bado hakikupaswa kuwepo na pengine ningemshauri aende Mbali zaidi kujua nini chanzo cchanzo cha uwepo wake.
 
Kwa hiyo chadema mmeanza kutetea matapeli wanaochukua ardhi za wanyonge?
watanzania.wasio ma akili ndio mmewatungia jina jipya mnawaita wanyonge. siku.hizi ndio maAna mnawaridhisha.kwa.vitu vya kipumbavu na.wanawashangilia sababu ya ujinga wao na wenu pia, mnyonge NI mtu gani huyo acheni.ujinga wenu.
 
Kuwasemea wananchi ni sehemu ya jukumi lake.

Lakini kuingilia mamlaka ya mahakama ni utovu wa hadabu.
 
Back
Top Bottom