Mkuu wa mkoa azindua nyumba ya kulala wageni

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
202
Reaction score
1,588
MTAANI KWENU HAKUNA MTU ANAYEJENGA "GUEST" TUMUITE RC AJE KUZINDUA??

Kuna watu hawailewi CHADEMA inaposema vyeo vya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya vifutwe katika Katiba. Ukweli ni kwamba DC na RC wanafilisi tu nchi hii kwa kula mishahara mikubwa, magari ya kifahari, posho na marupurupu mengine bila kufanya kazi yoyote ya maana.

Kazi zote za kiutendaji zinafanywa na wakurugenzi wa halmashauri au makatibu tawala. So DC na RC hawana kazi wafanyayo.

Labda hujanielewa ni hivi DC na RC hata wao wenyewe hawajui kazi yao ni ipi. Ndio maana wanaishia kufanya kazi kama hizi.

Eti RC mzima anaenda kufungua GUEST ya mtu. Very shameful. Yani jamaa kajenga Guest yake, halafu akatafuta mtu wa kuzindua. Kwa dharau akamualika RC. Na RC nae bila aibu akaenda kuzindua Guest ya mtu.

Kazi ya kuzindua Guest haipaswi kufanywa hata na mjumbe wa nyumba kumi achilia mbali RC. Lakini kwa kuwa RC hana kazi unamuita tu, unamwambia nizindulie Guest yangu, nae anakuja kuzindua.! Aibu sana hii.

Mi nilidhani Guest huwa inazinduliwa na wageni waliokosa makazi, plus wale jamaa wa kuvunja amri ya sita, kumbe hata Mkuu wa mkoa anaweza kuzindua.?? Vp mtaani kwenu hakuna mtu anajenga GUEST tumuite RC aje kuzindua??

attachment.php
 
Attachments

  • 1408189148520.jpg
    1408189148520.jpg
    61.4 KB · Views: 2,827
ni Guest House ipi? usijekuta ni yake. Kiongozi Mwekezaji.
 
Guest watu hawaendi vunja amri ya sita tu bro! wenyewe safari za kikazi pia hufikia.au wewe huenda vunja amri ya sita tu.
yote kwa yote hiyo diesel ya msafara wake, posho ya kufanya kazi nje ya kituo cha kazi ya hao wana msafara wake zingetumika vizuri zingenunua makopo mangapi ya paracetamol. Disposal syringe na gloves kwenye hospital na vituo vya Afya?
 
Guest watu hawaendi vunja amri ya sita tu bro! wenyewe safari za kikazi pia hufikia.au wewe huenda vunja amri ya sita tu.

Sijasema wanaolala guest ni wale wanaovunja amri ya sita tu. Nimesema nilidhani wanaozindua guest ni wanaovunja amri ya sita. Kuna wasafiri ambao hulala Guest kama ulivyosema lakini suala la kulala guest na kuzindua guest ni vitu viwili tofauti. Hahahaaah.. however nimesema "nadhani" so yaweza kuwa mawazo yangu tu.
 
Hiyo ya RC kuzindua guest nisiiongelee as cjui ana malengo yepi maana niliona moja hukooo mkuu wa mkoa akasema anawasapoti wajasilia mali ndo maana akaja kuifungua.
Ila 'kudhania' kila anayelala guest house ni mzinifu ujaribu kupima kama akili yako inafikiria sawa sawa. Nikuulize swali, umewahi kulala guest? Mara ngapi? Ulivunja amri ya 6 huko guest? Kama ndio basi si wote wafanyao uchafu huo.
Nimeona umepost na Facebook.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hiyo ya RC kuzindua guest nisiiongelee as cjui ana malengo yepi maana niliona moja hukooo mkuu wa mkoa akasema anawasapoti wajasilia mali ndo maana akaja kuifungua.
Ila 'kudhania' kila anayelala guest house ni mzinifu ujaribu kupima kama akili yako inafikiria sawa sawa. Nikuulize swali, umewahi kulala guest? Mara ngapi? Ulivunja amri ya 6 huko guest? Kama ndio basi si wote wafanyao uchafu huo.
Nimeona umepost na Facebook.

Tehtehteh..
 
MTAANI KWENU HAKUNA MTU ANAYEJENGA "GUEST" TUMUITE RC AJE KUZINDUA??

Kuna watu hawailewi CHADEMA inaposema vyeo vya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya vifutwe katika Katiba. Ukweli ni kwamba DC na RC wanafilisi tu nchi hii kwa kula mishahara mikubwa, magari ya kifahari, posho na marupurupu mengine bila kufanya kazi yoyote ya maana.

Kazi zote za kiutendaji zinafanywa na wakurugenzi wa halmashauri au makatibu tawala. So DC na RC hawana kazi wafanyayo.

Labda hujanielewa ni hivi DC na RC hata wao wenyewe hawajui kazi yao ni ipi. Ndio maana wanaishia kufanya kazi kama hizi.

Eti RC mzima anaenda kufungua GUEST ya mtu. Very shameful. Yani jamaa kajenga Guest yake, halafu akatafuta mtu wa kuzindua. Kwa dharau akamualika RC. Na RC nae bila aibu akaenda kuzindua Guest ya mtu.

Kazi ya kuzindua Guest haipaswi kufanywa hata na mjumbe wa nyumba kumi achilia mbali RC. Lakini kwa kuwa RC hana kazi unamuita tu, unamwambia nizindulie Guest yangu, nae anakuja kuzindua.! Aibu sana hii.

Mi nilidhani Guest huwa inazinduliwa na wageni waliokosa makazi, plus wale jamaa wa kuvunja amri ya sita, kumbe hata Mkuu wa mkoa anaweza kuzindua.?? Vp mtaani kwenu hakuna mtu anajenga GUEST tumuite RC aje kuzindua??

We imekuuma nini
 
Wanamuonea tu Mhandisi wa watu. Ndikilo ni professional and competent Engineer. Alitakiwa afanye kazi za kitaalamu kuhakikisha tuna miundo mbinu sahihi na ya kisasa kwa maendeleo ya taifa. Leo anashika kidumu kusubiri misafara ya ccm na kufanya kazi ambazo RPC na Mkurugenzi wa Maendeleo wa mkoa wangeweza kuzifanya bila shida. Haya siyo matumizi mabaya ya rasilimali watu na fedha za serikali?

MTAANI KWENU HAKUNA MTU ANAYEJENGA "GUEST" TUMUITE RC AJE KUZINDUA??

Kuna watu hawailewi CHADEMA inaposema vyeo vya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya vifutwe katika Katiba. Ukweli ni kwamba DC na RC wanafilisi tu nchi hii kwa kula mishahara mikubwa, magari ya kifahari, posho na marupurupu mengine bila kufanya kazi yoyote ya maana.

Kazi zote za kiutendaji zinafanywa na wakurugenzi wa halmashauri au makatibu tawala. So DC na RC hawana kazi wafanyayo.

Labda hujanielewa ni hivi DC na RC hata wao wenyewe hawajui kazi yao ni ipi. Ndio maana wanaishia kufanya kazi kama hizi.

Eti RC mzima anaenda kufungua GUEST ya mtu. Very shameful. Yani jamaa kajenga Guest yake, halafu akatafuta mtu wa kuzindua. Kwa dharau akamualika RC. Na RC nae bila aibu akaenda kuzindua Guest ya mtu.

Kazi ya kuzindua Guest haipaswi kufanywa hata na mjumbe wa nyumba kumi achilia mbali RC. Lakini kwa kuwa RC hana kazi unamuita tu, unamwambia nizindulie Guest yangu, nae anakuja kuzindua.! Aibu sana hii.

Mi nilidhani Guest huwa inazinduliwa na wageni waliokosa makazi, plus wale jamaa wa kuvunja amri ya sita, kumbe hata Mkuu wa mkoa anaweza kuzindua.?? Vp mtaani kwenu hakuna mtu anajenga GUEST tumuite RC aje kuzindua??
 
Kibatali/Mwenge wenyewe unakimbizwa kwa bilioni 3 ili kuzindua mradi wa milion 1. Hii serikali sikivu
 
GodListen hajasema hili unalolisema wewe. Huu ni mtazamo wako ambao unaweza kuwa sahihi ama isiwe. Lakini kikubwa cha kuangalia, ni sahihi kwa Engineer mahili kama Ndikilo kumpa kazi za aina hii ambazo zingefanywa na mtu yeyote na Engineer akafanya kazi yake ya kitaalam ambayo ni rare profession hapa kwetu?

Guest watu hawaendi vunja amri ya sita tu bro! wenyewe safari za kikazi pia hufikia.au wewe huenda vunja amri ya sita tu.
 
RC kafanya investment kubwa sana ndio maana katumia power yake kutafuta soko akijua 2015 president atakuwa mpya na probability ya kubaki katika system ni ndogo, ndio maandalizi yenyewe hayo.
 
Sijasema wanaolala guest ni wale wanaovunja amri ya sita tu. Nimesema nilidhani wanaozindua guest ni wanaovunja amri ya sita. Kuna wasafiri ambao hulala Guest kama ulivyosema lakini suala la kulala guest na kuzindua guest ni vitu viwili tofauti. Hahahaaah.. however nimesema "nadhani" so yaweza kuwa mawazo yangu tu.

Kwakuwa yaweza kuwa ni mawazo yako tu haina shida lakini mimi nilijaribu fikiri upande wa pili wa shilingi.
 
MTAANI KWENU HAKUNA MTU ANAYEJENGA "GUEST" TUMUITE RC AJE KUZINDUA??

Kuna watu hawailewi CHADEMA inaposema vyeo vya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya vifutwe katika Katiba. Ukweli ni kwamba DC na RC wanafilisi tu nchi hii kwa kula mishahara mikubwa, magari ya kifahari, posho na marupurupu mengine bila kufanya kazi yoyote ya maana.

Kazi zote za kiutendaji zinafanywa na wakurugenzi wa halmashauri au makatibu tawala. So DC na RC hawana kazi wafanyayo.

Labda hujanielewa ni hivi DC na RC hata wao wenyewe hawajui kazi yao ni ipi. Ndio maana wanaishia kufanya kazi kama hizi.

Eti RC mzima anaenda kufungua GUEST ya mtu. Very shameful. Yani jamaa kajenga Guest yake, halafu akatafuta mtu wa kuzindua. Kwa dharau akamualika RC. Na RC nae bila aibu akaenda kuzindua Guest ya mtu.

Kazi ya kuzindua Guest haipaswi kufanywa hata na mjumbe wa nyumba kumi achilia mbali RC. Lakini kwa kuwa RC hana kazi unamuita tu, unamwambia nizindulie Guest yangu, nae anakuja kuzindua.! Aibu sana hii.

Mi nilidhani Guest huwa inazinduliwa na wageni waliokosa makazi, plus wale jamaa wa kuvunja amri ya sita, kumbe hata Mkuu wa mkoa anaweza kuzindua.?? Vp mtaani kwenu hakuna mtu anajenga GUEST tumuite RC aje kuzindua??

Guest House ni nini je hailipi kodi? Je haitoi ajira? Je haitoi huduma kwa watu mbalimbali wanaokuja katika eneo hilo katika labda afya, elimu, barabara, n.k.Mbona inaonyesha una wivu wa kike
 
Tehtehteh... ulitaka RC akakuzindulie kwenye hiyo guest ndo ujue hana wivu?
 
MTAANI KWENU HAKUNA MTU ANAYEJENGA "GUEST" TUMUITE RC AJE KUZINDUA??

Kuna watu hawailewi CHADEMA inaposema vyeo vya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya vifutwe katika Katiba. Ukweli ni kwamba DC na RC wanafilisi tu nchi hii kwa kula mishahara mikubwa, magari ya kifahari, posho na marupurupu mengine bila kufanya kazi yoyote ya maana.

Kazi zote za kiutendaji zinafanywa na wakurugenzi wa halmashauri au makatibu tawala. So DC na RC hawana kazi wafanyayo.

Labda hujanielewa ni hivi DC na RC hata wao wenyewe hawajui kazi yao ni ipi. Ndio maana wanaishia kufanya kazi kama hizi.

Eti RC mzima anaenda kufungua GUEST ya mtu. Very shameful. Yani jamaa kajenga Guest yake, halafu akatafuta mtu wa kuzindua. Kwa dharau akamualika RC. Na RC nae bila aibu akaenda kuzindua Guest ya mtu.

Kazi ya kuzindua Guest haipaswi kufanywa hata na mjumbe wa nyumba kumi achilia mbali RC. Lakini kwa kuwa RC hana kazi unamuita tu, unamwambia nizindulie Guest yangu, nae anakuja kuzindua.! Aibu sana hii.

Mi nilidhani Guest huwa inazinduliwa na wageni waliokosa makazi, plus wale jamaa wa kuvunja amri ya sita, kumbe hata Mkuu wa mkoa anaweza kuzindua.?? Vp mtaani kwenu hakuna mtu anajenga GUEST tumuite RC aje kuzindua??

Anzisha danguro umuite aje azindue
 
Back
Top Bottom