Alaf me naona kam umekosea kdg mwny hii post... RC wa Kagera aloteuliwa n kuapshwa leo hakuwa MI, icpokuwa yule mwngne ndo alikua MIHabari wakuu. Kwa mujibu wa Rais wakati anawaapisha wakuu wa mikoa wapya leo Ikulu alitamka kuwa aliyemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Intelijensia ya jeshi ( MI).
Je ni sawa kutamka hadharani kuwa alikuwa Mkuu wa MI? Hakuwezi kumfanya akawa target zaidi huko anakoenda ukizingatia anaenda mpakani?
Pia naona Mkuu wa MI ni mkubwa sana kuwa RC. Sio mjuzi ila ni mtu ambaye yuko karibu sana na cheo kikubwa kabisa cha jeshi( mtanikoa kama ntakuwa nimekosea) kwani hata RC aliyekuwepo hapo Kagera kabala ya kusataafu alikuwa Meja jenerali tu. Huyu ni Brigedia jenerali
JPM akili kubwaa,tutamuelewa tuMkuu kuna specho assignments ambazo mhusika ili aweza kutimiza "majukumu kikamilifu" anapewa cheo chochote haka kuliko elimu au kazi yake!
Tulia. Hawa majirani zetu ni kazi ya mikono yetu wenyewe!...proudly JWTZ.....hima himaaaaaaa Tanzaniaaaaa....Hima himaaaaaaa Tanzaniaaaaaa
sio MstaafuHuyu hakuwa mstaafu kwa mujibu wa aliyemteua. Lakini hata kama mstaafu Mkuu si anakuwa anajua mengi haipendezi kumuanika.
Mej Gen ni mkubwa kwa Brig Gen.Habari wakuu. Kwa mujibu wa Rais wakati anawaapisha wakuu wa mikoa wapya leo Ikulu alitamka kuwa aliyemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Intelijensia ya jeshi ( MI).
Je ni sawa kutamka hadharani kuwa alikuwa Mkuu wa MI? Hakuwezi kumfanya akawa target zaidi huko anakoenda ukizingatia anaenda mpakani?
Pia naona Mkuu wa MI ni mkubwa sana kuwa RC. Sio mjuzi ila ni mtu ambaye yuko karibu sana na cheo kikubwa kabisa cha jeshi( mtanikoa kama ntakuwa nimekosea) kwani hata RC aliyekuwepo hapo Kagera kabala ya kusataafu alikuwa Meja jenerali tu. Huyu ni Brigedia jenerali
Ahsante sana Mkuu. Hakika kwenye wakongwe haliharibiki jambo.Mej Gen ni mkubwa kwa Brig Gen.
Mtiririko toka juu hadi chini uko hivi:
1. Gen
2. Lt Gen
3. Maj Gen
4. Brig Gen
5. Col
6. Lt Col
7. Maj
8. Capt
9. Lt
10. 2Lt
Kwa Askari ni kama ifuatavyo.
7. WO I
6. WO II
5. S/Sgt
4. Sgt
3. Cpl
2. L/Cpl
1. Pte
Sahihisha hapo uliposema Mej Gen ni Mdogo kwa Brig Gen
Bazazi ni Bazazi
Siku hizi wapiga makofi, wasakatonge, watembea uchi na wambea ndiyo wanaopewa vyeo hivi kwa maslahi y'all wanaowateua, Si wananchi!Ukuu wa Mkoa na Wilaya haviko na thamani kama zamani.
DuhSiku hizi wapiga makofi, wasakatonge, watembea uchi na wambea ndiyo wanaopewa vyeo hivi kwa maslahi y'all wanaowateua, Si wananchi!
AlaaKuwa mtu mmoja Safi sana ama kuwa mtu wa watu is one of the most essential ingredients of a spy.
All military generals ni watu safi Sana na wenye mioyo na uvumilivu na ukarimu. Ila usiwaudhi
Huwezi kukusanya taarifa if you're rude
Kwema MkuuAiseee.....
kwema kabisaKwema Mkuu
Nikawaona wakongwe na magwiji wa JF kama ninyi kwenye nyuzi najua mambo hayaharibikikwema kabisa
Alaf me naona kam umekosea kdg mwny hii post... RC wa Kagera aloteuliwa n kuapshwa leo hakuwa MI, icpokuwa yule mwngne ndo alikua MI
Mkuu aliteleza. Na sio mara ya kwanza. Mfano aliwahi kuuliza mbele ya hadhara idad ya wanajesh kambini huko mpakani. Nadhan hakupitia mafunzo ya kumsaidia nini cha kuzungumza mbele za watu na athari zakeNatambua kuwa yupo pale "Kagera" kwa kazi maalum, lakini kwanini atambushwe!
Malcom Lumumba sema neno
Huwezi kuteleza zaidi ya mara moja mkuu. Itoshe kusema alifanya kusudi ili kuwatisha anaokwenda kufanya kazi ya kuwadhibiti. UjingaMkuu aliteleza. Na sio mara ya kwanza. Mfano aliwahi kuuliza mbele ya hadhara idad ya wanajesh kambini huko mpakani. Nadhan hakupitia mafunzo ya kumsaidia nini cha kuzungumza mbele za watu na athari zake