Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

wamejitakia wenyewe ... maana wanaija kila kitu wanatuzidi hadi uchawii
 
Wala usifikiri kuwa Rivers ni serikali au wapo juu yasheria,kikubwa utaratibu ufuatwe tu. Ameumizwa aende police ubalozini kwao akashitaki.
Polisi hawahawa walioshughulikiwa na Hamza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…