Hakuna vita isiyokuwa na hasara! Ukraine wamepoteza askari mara mbili ya hao mkuu! Lakini amini usiamini Bakhmut iko mikononi mwa vikosi vya Russia baada ya Wagner kumaliza kazi. Sasa kiwewe kiko NATO hawajui wafanyeje.Jisikie aibu jana Pregozen kiongozi wa Wagner alikiri kupoteza askari zaidi ya 22,000 kati ya 50,000 ndio wakaamua kukitoa zao watamalizwa, bakhmut bado inashikiliwa na Ukraine propaganda ndio iliyokuibua hapa jf ulikuwa hoi bintaaban na huna namna makundi tayari Russia wanataka nchi nchi yao na wanataka demokrasia putin atokee tu
Russia haijawahi poteza mkuu wa majeshi. Mkuu wao yupo na anadunda mpaka leo. Nataka kujua wa ukraine kaenda wapi,?Toka vita ianze Urusi ilishapoteza wakuu wao ata idadi haijulikani tena., wa mwisho ni Prigozen ambaye kesho atatoa jesh la Wagner baada ya kichapo sasa kiongozi 1 wa Ukraine kuwa wounded wewe una mdomo unaleta mdomo wa nini
Sawasawa 👍Tafuta habari ya kusisimua na ulete hapa tuchangie sio propaganda na ufurukutwa wa kiputini putini
View attachment 2630527
Kwanza bakhmut is dead, sasa hivi ina jina lipya la Urusi maana kwa sasa isharudi urusi.hehehe mumeshindwa kuiteka Bakhmut sasa mnajaribu propaganda, ila muziki ni ule ule.
Naskia mkuu wa majeshi alitunguliwa na kinzhal kwenye bunkerNaona unauliza kila mtu yuko wapi dunia hii, mbona mnalazimisha tuamini utekaji wa mji kwa kutumia mitandao, tupambane frontline.....matamko hayatawasaidia kitu.
Kwanza bakhmut is dead, sasa hivi ina jina lipya la Urusi maana kwa sasa isharudi urusi.
Watu wanapinga uonevu wa Putin ila kwavile ww ni mjinga unahisi kuunga mkono Ukraine ni kuiunga mkono Marekan , haya ndo madhara ya uhuru wa kupewa mkonon bila kuutolea jasho , sasa hv mipuuz baadhi ya afrika inashabikia tabia za kifirauni za Putin ambazo miaka 60 nyuma tulikuwa tunafanyiwa na tulibahatika kuzipunguza , baada ya kizaz cha akina Nyerere sisi wajukuu tunafurahia tabia zile zile za kifedhuri wazee walipiga vita , ni aibu hii asee yaan tunakuwa kama nyumbu mbugan sisi hatuna mipango zaid ya kufuata maji yapo wapi bila kinga yoyote , soon baada ya Ukraine , walengwa wa hizi tabia za uvamizi ni nchi dunia ya tatu mf nchi za bara la Afrika , baada ya Urusi kuivamia Ukraine , India nae akaanza jipanga ipora rasmi Kashmir ambapo mgogoro ulikuwa kwenye hatua nzur tu ya mazungumzo , pia China akajipanga kuivamia Taiwan , bila kusahau N.Korea akaanza lenga makombora upande wa S.Korea na Japan , huku China akitia shinikizo kwa wadaiwa sugu wa afrika kwa kumega maeneo tajwa kwenye miakataba yao[emoji23][emoji23][emoji23]
saa zingine nakuelewaga sana kuna time unakuwa mkweli kuna time unaamua kukurupuka tuuu kama yale mapa triotiki ya supa pawa marekani wa mchongo ....
kenge wewe kaa kimya ....wewe umewaona warusi ndio waonevu ngedere wewe .......ila uonevu wa hawa mabwana zako huwazungumziii kabisa .....[emoji116][emoji116]View attachment 2636440View attachment 2636441View attachment 2636442View attachment 2636439Watu wanapinga uonevu wa Putin ila kwavile ww ni mjinga unahisi kuunga mkono Ukraine ni kuiunga mkono Marekan , haya ndo madhara ya uhuru wa kupewa mkonon bila kuutolea jasho , sasa hv mipuuz baadhi ya afrika inashabikia tabia za kifirauni za Putin ambazo miaka 60 nyuma tulikuwa tunafanyiwa na tulibahatika kuzipunguza , baada ya kizaz cha akina Nyerere sisi wajukuu tunafurahia tabia zile zile za kifedhuri wazee walipiga vita , ni aibu hii asee yaan tunakuwa kama nyumbu mbugan sisi hatuna mipango zaid ya kufuata maji yapo wapi bila kinga yoyote , soon baada ya Ukraine , walengwa wa hizi tabia za uvamizi ni nchi dunia ya tatu mf nchi za bara la Afrika , baada ya Urusi kuivamia Ukraine , India nae akaanza jipanga ipora rasmi Kashmir ambapo mgogoro ulikuwa kwenye hatua nzur tu ya mazungumzo , pia China akajipanga kuivamia Taiwan , bila kusahau N.Korea akaanza lenga makombora upande wa S.Korea na Japan , huku China akitia shinikizo kwa wadaiwa sugu wa afrika kwa kumega maeneo tajwa kwenye miakataba yao
Ukichukia uonevu chukia wote.kenge wewe kaa kimya ....wewe umewaona warusi ndio waonevu ngedere wewe .......ila uonevu wa hawa mabwana zako huwazungumziii kabisa .....[emoji116][emoji116]View attachment 2636440View attachment 2636441View attachment 2636442View attachment 2636439View attachment 2636443