MBULAMATALI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2012
- 297
- 1,201
huyu alishakufa siku mingi...hapa tunazugwa tu..ila alishalambishwa mchanga kitambo...na ndio maana Zelensky anaishi kama digidigi siku hz...hata Poland napo hapaamini anaona ni kama vile Ukraine tuUkraine’s top general gravely wounded in Russian strike – RIA
Valery Zaluzhny won’t be able to command Kiev’s forces anymore due to head trauma, a source told the agency
Tafuta habari ya kusisimua na ulete hapa tuchangie sio propaganda na ufurukutwa wa kiputini putini
View attachment 2630527
Urusi na leo kumetibuka tena upande mwengine, wanataka nchi yao iwe huru wasimamishe demokrasia waondokane na udikteta
PropagandaUrusi na leo kumetibuka tena upande mwengine, wanataka nchi yao iwe huru wasimamishe demokrasia waondokane na udikteta
Usiandikie matePropaganda
Ndio atajitokeza huku kweliSisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.
Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.
Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!
Toka vita ianze Urusi ilishapoteza wakuu wao ata idadi haijulikani tena., wa mwisho ni Prigozen ambaye kesho atatoa jesh la Wagner baada ya kichapo sasa kiongozi 1 wa Ukraine kuwa wounded wewe una mdomo unaleta mdomo wa niniUkraine’s top general gravely wounded in Russian strike – RIA
Valery Zaluzhny won’t be able to command Kiev’s forces anymore due to head trauma, a source told the agency
hatukatai wakuu wengi wa russia wamekufa ilaToka vita ianze Urusi ilishapoteza wakuu wao ata idadi haijulikani tena., wa mwisho ni Prigozen ambaye kesho atatoa jesh la Wagner baada ya kichapo sasa kiongozi 1 wa Ukraine kuwa wounded wewe una mdomo unaleta mdomo wa nini
Mkuu uko wapi dunia hii? Wagner wameshamaliza kazi ya kuiteka Barkimut na sasa watachukua siku kadhaa kupumzika kabla ya kupewa majukumu mengine ya kukomboa miji mingine ya Donbass. Wakati huo kazi inayoendelea ni kusafisha mji ya kuondoa maiti za majeshi ya Ukraine na mamluki wa Nchi za Magharibu.Toka vita ianze Urusi ilishapoteza wakuu wao ata idadi haijulikani tena., wa mwisho ni Prigozen ambaye kesho atatoa jesh la Wagner baada ya kichapo sasa kiongozi 1 wa Ukraine kuwa wounded wewe una mdomo unaleta mdomo wa nini
Pole sana Mkuu! Uko wapi dunia hii? Mji umeshawekwa kikamilifu chini ya majeshi ya Russia baada ya Wagner kumaliza kazi.hehehe mumeshindwa kuiteka Bakhmut sasa mnajaribu propaganda, ila muziki ni ule ule.
Teh Teh Teh! Taarifa zenyewe ni za CNN? Tafuta vyanzo vingine vya habari visivyoegemea upande wo wote! Russia ni Taifa huru.Urusi na leo kumetibuka tena upande mwengine, wanataka nchi yao iwe huru wasimamishe demokrasia waondokane na udikteta
Pole sana Mkuu! Uko wapi dunia hii? Mji umeshawekwa kikamilifu chini ya majeshi ya Russia baada ya Wagner kumaliza kazi.
NATO kiboko yenuTeh Teh Teh! Taarifa zenyewe ni za CNN? Tafuta vyanzo vingine vya habari visivyoegemea upande wo wote! Russia ni Taifa huru.
Jisikie aibu jana Pregozen kiongozi wa Wagner alikiri kupoteza askari zaidi ya 22,000 kati ya 50,000 ndio wakaamua kukitoa zao watamalizwa, bakhmut bado inashikiliwa na Ukraine propaganda ndio iliyokuibua hapa jf ulikuwa hoi bintaaban na huna namna makundi tayari Russia wanataka nchi nchi yao na wanataka demokrasia putin atokee tuMkuu uko wapi dunia hii? Wagner wameshamaliza kazi ya kuiteka Barkimut na sasa watachukua siku kadhaa kupumzika kabla ya kupewa majukumu mengine ya kukomboa miji mingine ya Donbass. Wakati huo kazi inayoendelea ni kusafisha mji ya kuondoa maiti za majeshi ya Ukraine na mamluki wa Nchi za Magharibu.
Wamumteketeze tuu Alitaka kiasi na kupindua SerikaliSisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.
Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.
Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!
Kazima uyo[emoji4]Ukraine’s top general gravely wounded in Russian strike – RIA
Valery Zaluzhny won’t be able to command Kiev’s forces anymore due to head trauma, a source told the agency
Kwaiyo mkuu unabishana Hadi na zelensky [emoji38]Jisikie aibu jana Pregozen kiongozi wa Wagner alikiri kupoteza askari zaidi ya 22,000 kati ya 50,000 ndio wakaamua kukitoa zao watamalizwa, bakhmut bado inashikiliwa na Ukraine propaganda ndio iliyokuibua hapa jf ulikuwa hoi bintaaban na huna namna makundi tayari Russia wanataka nchi nchi yao na wanataka demokrasia putin atokee tu