Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

What if hakuwemo? Nasuibiri kumwona CDF mwenyewe :)

Ha ha kaka nimeona gari za jeshi, ya nyuma kabisa ilikuwa na mabegi cause ni zile ford za jeshi zisizo na tinted. Tatizo jeshi hali operate kisiasa kama mnavyodhani. Kama mnafikiri eti CDF atajitokeza hadharani na kuclaim yuko fine.... Ni ndoto boss
 
Well it doesn't have the same meaning and I real
don't care if the meaning is the blessed Virgin Mary ....

Good. I'm glad you concede those words have different meanings.

how can defense be coordinated without the use of multiple security countermeasures ????

And what exactly is your point here? Mind expounding on it...?

Once again bro you are better than this

Better than what..?
 
Ha ha kaka nimeona gari za jeshi, ya nyuma kabisa ilikuwa na mabegi cause ni zile ford za jeshi zisizo na tinted. Tatizo jeshi hali operate kisiasa kama mnavyodhani. Kama mnafikiri eti CDF atajitokeza hadharani na kuclaim yuko fine.... Ni ndoto boss

Yaani kuna watu wanadhani ataita waandishi wa habari aseme chochote!!!!!!!!!!
 
Good. I'm glad you concede those words have different meanings.

And what exactly is your point here? Mind expounding on it...?

Better than what..?

What does the meaning got to do with how defense and security work ???
Once again stop acting like you are 12 yrs old
 
Kutoka moja kwa moja kwenye tovuti za JWTZ na Jeshi la Polisi Tanzania:

Majukumu ya JWTZ

JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JWTZ lina majukumu yafuatayo:

  1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  3. Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
  4. Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
  5. Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.
  6. Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
  7. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
  8. Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa.

Dira na Dhima

Dira na Dhima Mpya ya Jeshi la PolisiDira (Vision)

  • Kuwa na Jeshi la Polisi lenye Weledi, la Kisasa na linaloshirikisha jamii katika kudumisha amani, utulivu na kuongeza kasi ya maendeleo ya nchi kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Dhima (Mission)
  • Kulinda usalama wa raia na mali zao, kusimamia utekelezaji wa sheria, kuzuia na kudhibiti uhalifu, kuwakamata watuhumiwa na kudumisha amani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Vithaminiwa (Core Values)
  • Ujasiri (Courage)
  • Uadilifu (integrity)
  • Utiifu (Loyalty)
  • Uadilifu (integrity)
  • Haki (impartiality)
 
Ni Chief of Defense Forces....ambazo ni land forces, air force, na naval force.

Ningekufafanulia sema tu wewe unaishi ulaya sijui marikani, hukawii kuanza kubisha kwa vizungu vyako huku ukisema usa baby: usa baby:
Ila tu hiyo CDF ussamini sana kiasi cha kujengea hoja yako maama huku kwetu tunamwitaga mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Labda tu niuliza maana OCS..ina maana gani? Yaani kiinglish chake!
 
Ha ha kaka nimeona gari za jeshi, ya nyuma kabisa ilikuwa na mabegi cause ni zile ford za jeshi zisizo na tinted. Tatizo jeshi hali operate kisiasa kama mnavyodhani. Kama mnafikiri eti CDF atajitokeza hadharani na kuclaim yuko fine.... Ni ndoto boss
Kwa uache fallacy of generalization. Hakuna siasa katika post yangu. Umesema umeona gari. Hiyo haithibitishi kuwa yumo. Pia umerudia kusema umeona GARI na MABEGI. Bado hii haithibitishi kuwa yumo.

Its common sense not politics. Ila unazoleta wewe ndio empty politics. Jeshini ukiona mtu kaanguka na ana damu hau "assume" amekufa right? Common sense!
 
What does the meaning got to do with how defense and security work ???
Once again stop acting like you are 12 yrs old

The Chief of Defense Forces is not the chief of the Tanzanian police force [IGP].

Role-wise, those two forces are very different from each other.

One is for the defense of the nation and the other one is for the enforcement of laws, investigating crimes, and making arrests.

Now, who is behaving like a tween?
 
Mr Q vipi hii game odds zimechange? Au bado ni zile zile za R Madrid?
 
Last edited by a moderator:
Ningekufafanulia sema tu wewe unaishi ulaya sijui marikani, hukawii kuanza kubisha kwa vizungu vyako huku ukisema usa baby: usa baby:
Ila tu hiyo CDF ussamini sana kiasi cha kujengea hoja yako maama huku kwetu tunamwitaga mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Labda tu niuliza maana OCS..ina maana gani? Yaani kiinglish chake!

Nipe rejea ya kisheria inayotaja kuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi ni mkuu pia wa majeshi ya polisi na magereza.

Kumwita tu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama haimaanishi kwamba wakuu wa polisi na magereza pia wanaripoti kwake.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa mnamwita hivyo kimakosa.
 
Back
Top Bottom