Mkuu Wa Kituo Apigwa Risasi.

Green Guard chini ya kamanda wao shupavu Mwigulu Nchemba walikuwa mazoezini
 

mkuu hata hueleweki!
 
Wa kulaumiwa ni Waziri mkuu Pinda,na hii ndio hasara ya viongozi wasiotafakari kabla ya kutamka
 
mPWA HUJUI HII INCIDENCE NDIO MAANA, HOW COME pOLISI WAENDE KIJIJINI, i KNOW THE VILLAGE NA NINAMAANISHA vILLAGE HASWA NA BASTOLA BADALA YA KUSUKUHISHA MGOGORO WEWE UNA SIDE NA UPANDE WA MDHUMAJI!!! Do you think hawa watu hawana akili au?? Ndio yaliyompata askari huyu..... I congratulate them maana wanapenda sana rushwa askari wetu. Thank you once again Wasambaa na Wammbugu
 
Niko vizuri tu kijana wa zamani, sema neno! Nilifurahi sana kuona afsaaa wa polisi anakula kipondo cha mbwa mwizi. Wambugu Nouma wewe
CC: CHAMVIGA

Teh teh teh huyo atakuwa amegusa ng'ombe wetu wasichungwe kwenye maeneo yao. wereweeee!
 
Last edited by a moderator:
Vijijini wanabadilika na kujanjaluka, DSM mnazidi kunyanyaswa na kuonewa, na kama alivyo sema PINDER lazima mpigwe tu, mtapigwa sana, maana mmekataa kuwapiga wao

Kazi tunayo kama polisi wanakimbizwa na polisi jamii ni hatar
 
The input is equals to the output. Wangemwua tu kama baro
 

alshabaab at work
 

vita ya wakulima na wafugaji wa jamii ya kimasai inanukia. Intelijensia imelala, au ndo alikuwa undercover?
 
Ni jamaa wa Ansar Sunna, wameanzisha kijiji chao pekee yao tu wavaa suruali fupi

Wanalima Iliki hao jamaa? Maana tatizo ni ushuru uliopelekea Mgambo kutangulizwa mbele ya Mungu!
 
Ni wakati muhimu tujitathimini na kuchukua hatua madhubuti kwa ajili ya uinzi wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…