Mkuu wa kaya yumo?

Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
3,303
2,079
Jana kwenye ITV nimemwona Waziri Ngeleja akiipigia pande sana hii kampuni iliyochukua mgodi wa Buckreef lakini siku za nyuma nilishawahi sikia kuwa Mkuu wa kaya ambaye ni rafiki wa karibu sana na James Sinclier aliyehudhuria hata kuapishwa kwake mara ya kwanza naye ana kahisa ka kiushikaji pamoja na Bomani, hebu wajuzi leteni info kama ni kweli au uongo wetu tulio wavivu wa kufikiri....je na hiyo offer ya 15% kweli ni offer? Brela tupeni majina ya wahusika!

Tanzanian Royalty Agrees Deal to Develop Buckreef Gold Mine

By David Malingha Doya

(Updates with estimated costs in third paragraph.)
Oct. 25 (Bloomberg) -- Tanzanian Royalty Exploration Corp., a Canadian gold explorer, signed an agreement with Tanzania's State Mining Corp. to redevelop the Buckreef gold mine in the east African nation.

STAMICO, as the state's mines agency is known, will own 45 percent of the venture, while Tanzania American International Development Corp., Tanzanian Royalty's local unit, will hold the balance, Energy and Minerals Minister William Ngeleja told reporters today in Dar es Salaam.
Development of the project may cost as much as $280 million, Minerals Commissioner Ally Samaje said today in an interview from Dar es Salaam. The Buckreef mine was temporarily closed in 1994 due to poor management, he said.

"The agreement signed today is in line with expectations of the new mineral policy," Ngeleja said. "It is the beginning of fulfillment of aspirations envisaged by the government."

Tanzanian Royalty also offered a 15 percent stake of its advanced gold exploration project at Kigosi in the Shinyanga region to Tanzania's State Mining Corp., Ngeleja said.


--Editors: Alex Devine, Tony Barrett
To contact the reporter on this story: David Malingha Doya in Dar es Salaam at dmalingha@bloomberg.net
To contact the editor responsible for this story: Paul Richardson at pmrichardson@bloomberg.net
 
Inawezekana yumo... ninyi mnadhani mshahara wake unatosha kurudisha madeni aliyokopa kuwania urais???????
 
another episode.duh kuumizana vichwa tu....mbona wa tz hatufanyi hata maandamano ya amani, tunaishia kuandika na kulalama kama watoto wadogo waliokosa maziwa?
 
another episode.duh kuumizana vichwa tu....mbona wa tz hatufanyi hata maandamano ya amani, tunaishia kuandika na kulalama kama watoto wadogo waliokosa maziwa?
Andamana ule virungu!
 
Back
Top Bottom