kwa mara nyingine tena jana alhamis tarehe 31 July 2014 TAKUKURU wamempandisha kizimbani mkuu wa chuo cha uhasibu arusha (IAA) kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya mamilion ya pesa.
KOSA LA KWANZA
kuingia mkataba wa matibabu kwa wafanyakaz wa chuo hicho na hospital binafsi inayoita HORY family iliyopo njiro na wakati huo huo wafanyakaz hao wakiwa mfuko wa bima ya afya ya Taifa (NHIF) na wanakatwa asilimia 3 na huku mwajiri IAA akichangia pia 3%. hospital hiyo ilikuw inaleta madai ya zaidi ya million 50 kila mwezi
KOSA LA PILI
kutumia madarka yake vibaya akiwa kama mkuu wa chuo kuajiri ndugu zake zaidi ya 10 bila utaratibu wa ajira za umma kufuatwa.
ikumbukwe pia hii ni mara ya pili kwa mkuu huyu wa chuo kupandishwa kizimbani na TAKUKURU mwezi huu wa JULY na IJUMAA tar 1 AUGUST shauri lake la kwanza litasomwa tena