Leo katika pitapita zangu jukwaa la picha nikaona picha alizopost utafiti.
Nimemkumbuka huyu jamaa aisee.
Wanaojua alipo tunaomba tujue, ukimya umezidi.
Usiku mwema
yupo amebanwa na majukumu tu
Eti eeeh na kweli majukumu haya mazito
Ulienda wapi wewe?
usishangae ndo mambo ya View attachment 169825
Kafanyaje? Ametongoza demu au??