phanta Member Aug 14, 2014 59 15 Feb 18, 2017 #1 eti antivirus nzur kwa ajili ya cm za android ni ipi
B Benny Haraba JF-Expert Member Dec 7, 2012 12,331 11,373 Feb 18, 2017 #2 phanta said: eti antivirus nzur kwa ajili ya cm za android ni ipi Click to expand... mimi sijaona manufaa ya antivirus kwenye simu mara nyingi simu ndiyo huwa zina corrupt
phanta said: eti antivirus nzur kwa ajili ya cm za android ni ipi Click to expand... mimi sijaona manufaa ya antivirus kwenye simu mara nyingi simu ndiyo huwa zina corrupt
kcamp JF-Expert Member Aug 31, 2014 8,514 7,953 Feb 19, 2017 #4 phanta said: eti antivirus nzur kwa ajili ya cm za android ni ipi Click to expand... Huna haja ya antivirus utafanya simu iwe nzito tu
phanta said: eti antivirus nzur kwa ajili ya cm za android ni ipi Click to expand... Huna haja ya antivirus utafanya simu iwe nzito tu