hivi ulilazwa milembe au muhimbili vile?
Kila kukicha hali inaendelea kuwa mbaya, UKAWA sasa wanaambulia kiduchu tu katika mikutano yao. Ona mwenyewe hali ilivyo hapo kwenye picha. UKAWA SASA YADODA
Ha ha ha ha ha mbona hujaweka picha za mama samia saluhu alipokuwa Dumila wiki iliyopita jins alivyoumbuka baada ya kukutana na uwanja mweupe
Kila kukicha hali inaendelea kuwa mbaya, UKAWA sasa wanaambulia kiduchu tu katika mikutano yao. Ona mwenyewe hali ilivyo hapo kwenye picha. UKAWA SASA YADODA
Mgonjwa wenu anaendeleaje?hivi ulilazwa milembe au muhimbili vile?
Watu wameenda kushangaa Helicopter yenye mgonjwa.Uliona mambo yalivyokuwa Tanga leo? Poor Mr Chin , nenda kapige pushapu kwa style ya kubinua makalio, ndio kazi unayoiweza, siasa zina wenyewe!
View attachment 292322
ameagwa leo kareemjee wanaenda kuzika morogoro kesho.Mgonjwa wenu anaendeleaje?
Out of what? Ooops CCM is wining and Magufuli is the next President of Tanzania.CCM out
Basi huko kwenu watu wanakuja kutazama makalio ya wagombea wakati wa Pushapu!Watu wameenda kushangaa Helicopter yenye mgonjwa.