Nimeongea na ndugu toka Mbeya anasema watu waliojitokeza kumpokea ni wengi sana!
Kibaya zaidi hana Camera jamani mlio jirani hebu tuwekeeni angalau picha tu!
Njimba usiache kutuhabarisha kinachojiri huko mkuu! tunahamu ya kusikia kutoka kwa Dr.Slaa. Mungu awe upande wetu wananchi wa Tanzania na mungu awe upande wa Dr.Slaa.
Maana JK mwenyewe kakiri kwamba kuchakachua kunawezekana kama wakala akipewa hela ya soda au wajumlishaji wakiamua kuchakachua! nafikiri unapata picha ya kile ambacho kimeandaliwa tayari!
Du watu wanataka mabadiliko kweli.............haya dr.slaa ikulu hiyo tunakupa ukasafishe uchafu wa kikwete na ccm ukamuenzi nyerere kwa matendo pale nyumba nyeupe..................tunakupa nafasi ukabadili katiba na kuilinda pindi ikipitishwa na sio km kikwete ambaye hawezi kulinda katiba kwa kuifanya serikali ina dini ya kiislamu wakati ni ya watz wote...............tunakupa nchi rasmi utuongoze watz wetu kwa umoja huu tuliyonao........
Iyo ya ITV ni serious?
Jamaa yangu katoka nipigia anasema barabara hazipitiki jiji la Mbeya watu toka pande zote za mbeya.
Nina wasi wasi uwanja pale maeneo ya CCM pale Mbeya sidhani kama utatosha
ITV hawaonyeshi tena kuna thread uchaguzi 2010 kuwa KINANA tayari kaingia ITV na kuwaambia wajiunge TBC-Tido kuwaonyesha ma-celebrity wa CCM.Ukombozi unakuja chagua Chadema.
ITV hawaonyeshi tena kuna thread uchaguzi 2010 kuwa KINANA tayari kaingia ITV na kuwaambia wajiunge TBC-Tido kuwaonyesha ma-celebrity wa CCM.Ukombozi unakuja chagua Chadema.