Mkutano wa rais na wazee 22/12/2014 : Msitegemee rais afuate mawazo yenu kuhusu ESCROW

Mimi simsafishi Mtu bali nahoji iweje Rais afanye kazi kwa Shinikizo la Mengi ambaye yupo kwa Masilahi binafsi ya Vitalu vya Gesi huku akiwa amesheheni Madhambi kibao Lakini yupo busy kuwanyooshea wenzake vidole.

Kwahiyo mengi aliwaambia hao wajinga wenzako kina muhongi na tiba wachukue hela huku wakijua ni za tanesco.
Usitake kudanganya umma hapa ruge hana hela za kuwalipa watu hovyo tena wasio na blood relation whatsoever. Do unapoteza watu and you belong to hell .
 
Lini Bunge watajadiili haya na kutoa Maazimio 1- Rostam kuuza hisa za Vida kwa dola milion 300 hakulipa Kodi lakini alimugawia Mengi mamilioni Wakamaliza Ugonvi wao, Mengi alikopa NBC kisha akapoteza Ushahidi na akalikwepa Deni, Mengi si mlipaji Kodi mzuri amejaa Madhambi Mengi Kama lilivyo jina lake, Bunge wajadili hizo pesa alizopewa Sendeka ili apige Mayowe Bungeni zimekatwa Kodi? Dowans iliuzwa kwa Dola M 120 kama lilivyo deni la IPTL je? Dowans waliilipa Kodi? Serikali ilitoa fidia ya dola milion 100 je? Zilikatwa Kodi? Wakiletwa FBI hapa Tz wawachunguze kwa kiina Mengi na Mkono lazima wataelekea jela kwani si watu Saafi, Nchi Hii hakuna aliye Msaafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole.

Wee kweli ni minyoo!
 
Mengi na madhambi yake wewe unayako Mimi ninayangu.....suala si dhambi....Kikwete atutajie watu waliochukua pesa pale stanbic..atueleze Serikali yake inapambana vip na mafisad...atueleze vizuri yeye ndiye rais wa nchi....kama yeye hawezi kukemea he is as good as a dead duck
 
Mimi simsafishi Mtu bali nahoji iweje Rais afanye kazi kwa Shinikizo la Mengi ambaye yupo kwa Masilahi binafsi ya Vitalu vya Gesi huku akiwa amesheheni Madhambi kibao Lakini yupo busy kuwanyooshea wenzake vidole.
jaman watanzania ndo wamwmchagua,y wasimahaur,km anaenda wrong anashinikizwa.ni mwajiriwa wa watz
 
Mwizi ni baba yako Mengi ambaye Anawaibia wafanyakazi wake kwa kuwalipa mishahara mibovu Huku akitumia Mabilioni kwenye Ligi za kuwang'oa wapinzani wake kibiashara, Mengi halipi Kodi Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi Mengi sana hapaswi kumnyooshea mtu Kidole kwani yeye ni Mwizi number one.
Sikushangai, wewe ni mnufaika wa majizi ya mali ya umma ndio maana unaweweseka kama umekunywa maji ya chooni!
 
Back
Top Bottom