Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Hongera Chadema kwa ushindi huu usiokuwa na mawaa!!!!

Tiba
 
Ungeomba msamaha ingekuwa bora zaidi.Mods tafadhali akiomba/wakiomba msamaha wafungulieni hata kwa masharti.......

watu wengi wamepotea sababu ya kula Ban...watu kama kina FF,Mwita25,MS na wengineo wangechangamsha sana mijadala wakati wa uchaguzi wa arumeru..lets celebrate the trophy once again.
 
Hizo pics zenyewe ziko wapi wadau..? Au kama una dhambi ndo huzioni..?
 
People's power has SPOKEN. Let this be a strong message to those who mistakenly thought that they owned our nation. Tanganyika is for all Tanganyikans. Let all who have eyes see this and those who have ears hear and send the message to all our comrades all over the country from cities to villages. May the almighty God keep on pouring HIS blessings on this beloved M4C until the destination is reached in 2015. amen
 
makamanda wametupa raha,yaani leo nimepata raha sana nafurahi kuwa CDM, nassari aje dar tumpe pongezi.Mungu amesikia kilio chetu.Nadhani magamba wamelala sie tuko macho!
 
Wadau ivi M4C ni nini??nimekuwa nikiiona inatajwatajwa sana umu..
 
Mimi naamini yatakuwa mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kunzia hapo CDM itaanza kuongoza nchi Mbowe,DR Slaa, ZItto, Mnyika na makamnda wengi jipangene malizeni ***** ***** zenu kiutu uzima tuchukue nchi mwaka 2014 kwani kwa sasa watanzania wako tayari kwa mabadiliko...
 
watu wengi wamepotea sababu ya kula Ban...watu kama kina FF,Mwita25,MS na wengineo wangechangamsha sana mijadala wakati wa uchaguzi wa arumeru..lets celebrate the trophy once again.

Mwita25 yupo kimya kimya anatumia Radhia Sweet..
 
Wadau ivi M4C ni nini??nimekuwa nikiiona inatajwatajwa sana umu..
Movement For Change
ni maamzi ya chama cha demokrasia na maendeleo kukikabidhi chama kwa wananchi.....
 
Du segerea naisubiri kwa hamu sana niitumie haki yangu kuimaliza kabisa kisiasa hawa kudadadeki
 
makamanda wametupa raha,yaani leo nimepata raha sana nafurahi kuwa CDM, nassari aje dar tumpe pongezi.Mungu amesikia kilio chetu.Nadhani magamba wamelala sie tuko macho!
Wewe acha katika kitu ambacho watanzania walio wengi walikuwa wana kisubili kwa hamu ni ushindi huu wa kamanda Nassari hakika leo ungefanikiwa kufika kwenye uwanja wa Leganga ungepata picha...nina video lakini sina software ya kuiweka kwenye fls ili niiweke kwenye youtube naamini chadema wataiweka kwenye TV yao.
 
asante sana crashwise..katika harakati humu JF nilikula ban so nimekuja na ID hii ilimradi nije kusherehekea na magwanda wenzagu..viva CDM...

Ushalipa Faini mkuu? Pamoja sana mkuu kwenye hizi shwangwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…