Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon
Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon
Nimependa ustaarabu wa Nchemba anaouonyesha leo. Huku ndiko kukomaa kisiasa!
Hypocrisy at work...One of the things you should learn from this Arumeru result (personally)is that...offensive, abusive, dirty and undisciplined campaigns will never lure serious voters into changing their minds....especially in today's TZ...this is what you and your fellow ignorant offenders should take home to your families.....By the way...i will be very disappointed if your party will fail to punish you,wassira and that dumb ass lusinde......because you have greatly disgraced your party......this is a well documented fact...very unfortunately for you.......Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.
Hongera Mbowe, Slaa na makamanda wote tunawapenda woteHongera sana CHADEMA
Inaelekea wewe huwajui hawa magamba !! Mtu mwenye akili timamu hawezi kujipakaa madivi au kuvua sulupwete na kuacha masaburi nje then aibuke na kudai alikuwa amelewa sana !! If r upstairs is ok, kwa nini ulewe sana as if viwanda vya alcohol vinafungwa kesho !!
Huyu hana lolote, na hana tofauti na akina Lusinde, Nape, Chatanda and so forth including yule mwenye kumiliki na kutembea na SMG ........! Wameiba na kufilisi nchi, na wanaendelea kuiba na kumtumi huyu huyu kuhonga pesa za wizi eti kwa kujifanya ntoto wa mjini.
Hizi ni kanyaboya tuu, guilty conscious zimeanza kuwaingia na hizi ni rasha rasha tuu storm yenyewe inakuja na believe me or not, better muanze ku book selo pale segerea na keko !! Mbaya zaidi mmeanza kutumia makanisa bila hata aibu. I can't believe mtu kama huyu (we know what you did in Igunga) aende kanisani na kutamka mbele ya waumini eti he hopes roho mtakatifu awaangazie...... ............ damn can't even continue ....naweza meza hii key board....
LAT sikiliza mimi nilikuwa uwanjani. Uwanjani mkipigwa shambuzi mabeki mnaweza kudhani mnaokoa mkajifunga. Tusameheane tu tena sio kwa kauli hiyo tu bali na zingine nyingi. Lakini ni nyingi ni kwa ajili ya joto la uchaguzi