Nashukuru kwa taarifa hiyo ila ujatuambia Muda.
Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko nakukataa mfumo kandamizi. Watakuwepo viongozi wakuu wa Chadema kitaifa kadhalika Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki.
Naomba kuwasilisha! Update baadaye.
Itakuwa saa saba mchana uwanja wa Leganga. Makamanda bado wanahangaika kuwatoa kituoni wote waliokamatwa usiku wa manane wakilinda kura.
Kudadekiiiiiiiii!!
Ktk nusu saa kuanzia sasa ntakuwa nimetia nanga hapo!
Huu msako natamani ingeendelea mpaka 2015 bila ya kupumzika!
Hakika mafisadi mwisho wao hauko mbali hata punje!!
Huu ni msako wa lango hadi lango!