Kwenye facebook nape kaandika "
[h=6]Nape Nnauye
Hakika nimefanya mikutano mingi lakini wa Leo Igoma umevunja rekodi! Nasubiri Star TV waonjeshe walau kidogo saa mbili usiku[/h]
pale igoma stendi huwa kuna watu full time.....hawana lolote wale..mwigulu nae kazi kuwaza uchi tu
igoma hamna stendi bana,stend iko nyakato stand..
Unaifahamu igoma au unasimuliwa? Kwani ili iitwe stand lazima iwe ya mabasi ya mikoani?
Zile express za mjini-igoma zinasimama wapi?
Unaifahamu igoma au unasimuliwa? Kwani ili iitwe stand lazima iwe ya mabasi ya mikoani?
Zile express za mjini-igoma zinasimama wapi?
Mkutano wa Nape na jamaa yake ambaye ni muasisi wa kampeni za kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka igunga umeisha salama kwa Mwigulu Nchemba kuzomewa na kuzungumzia ushindi wa Igunga kama kawaida yake kana kwamba ndiyo kaanzia siasa Igunga, pia ameishia kuongea Lugha tu za kejeli na matusi kwa watu wa mwanza na kanda ya ziwa kama : ukiona baba wa kambo anakupenda ujue anampenda mama yako siyo wewe...,
Nape yeye kasoma alama za Nyakati hakuzungumzia chcochote kuhusu wapinzani kazungumzia sera yao ya kujivua gamba na kusema anaungana na watanzania wengine kupinga kulipwa kwa dowans na kama ikilipwa waliohusika wataifishwe mali zao ndiyo zifidie hilo deni na mwisho kaishia kuimba wimbo wa baba yake .. Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote
Mkutano umefanyikia Igoma barabarani kwenye soko watu wanakuwepo pale hata kama mkutano haupo, na mafuso yalifanya kazi ya kusomba watu kutoka ngudu, misungwi na kwingineko ambapo roho ya nduhu tabu haijakemewa kwa jina la CHADEMA
Kumbe walizomewa!!!!Mkutano wa Nape na jamaa yake ambaye ni muasisi wa kampeni za kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka igunga umeisha salama kwa Mwigulu Nchemba kuzomewa na kuzungumzia ushindi wa Igunga kama kawaida yake kana kwamba ndiyo kaanzia siasa Igunga, pia ameishia kuongea Lugha tu za kejeli na matusi kwa watu wa mwanza na kanda ya ziwa kama : ukiona baba wa kambo anakupenda ujue anampenda mama yako siyo wewe...,