Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Ahirisho la Mkutano na Waandishi wa Habari
Mkutano na waandishi wa Habari na Ndg Luhaga Mpina, uliokuwa ufanyike leo Alhamis tarehe 28.8.2025 saa Saba Kamili Mchana umeahirishwa kutokana na Mzungumzaji kuendelea na usikilizaji wa Kesi mahakamani
Mpaka wakati huu.
Tunaomba radhi kwa usumbufu na tutawataarifu wakati tukiwa tayari
Asanteni
Abdallah Khamis
Afisa Habari ACT Wazalendo
28.08.2025