Mkutano wa Moses Machali wadoda.

Mkutano wa Moses Machali wadoda.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Nipo kwenye mkutano hapa Kasulu mjini, ni mkutano ambao utahutubiwa na mbunge wa Kasulu mjini Mwl. Moses Machali wa NCCR Mageuzi.
Watu ni wengi kiasi lkn CDM wakiandaa mkutano huwa wanazidi hapa.

UPDATES

Amejikita sana katika kuwaponda CCM na CDM naona anataka kuharibu hali ya hewa hapa.
 
Chama chake ndio janga,arud cdm samaki tuko wengi shida ni nyavu anazo tumia kutuvulia hazina viwango waliozitunza wamezichanganya na zamagamba yani zina matundt mengi na zinanuka
 
picha tafadhari tuthibitishe maneno yako
 
Naona ghafla watu wamejaa sijui hata wametoka wapi
 

Attachments

  • 0438.jpg
    0438.jpg
    42.7 KB · Views: 103
Jamaa anamwaga nondo za uhakika anampa mkuu wa wilaya siku saba awe amehama kwani hafanyi kazi anayotakiwa kufanya.
 
Anawaponda watu wa CDM eti wamechoka kufikiri wamekuwa kama CCM.
 
Back
Top Bottom