Mkutano wa MAT

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Nipo kwenye mkutano, saidia anasoma makubaliano na maazimio ya mkutano uliopita. Naibu waziri wa afya anategemewa kuwepo leo,nitawapa updates.
 
sisi tunataka wagome kwani serikali imwadharau vya kutosha.
wakilegezwa na hao mafisadi hatutawaelewa.
 
Nipo kwenye mkutano, saidia anasoma makubaliano na maazimio ya mkutano uliopita. Naibu waziri wa afya anategemewa kuwepo leo,nitawapa updates.

Tunachokisubiri ni maamuzi yaliyofanyiwa analysis ya kisomi tena yenye mstakabali wa kulikomboa taifa hili,sitegemei wasomi mtatoka na maamuzi ya kujipendekeza na yenye unafiki kama watu amabao shule hamkupita,sitarajii maamuzi yenu yatafanana na ya kina Livingstone Lusinde(Kibajaj-Mbunge wa Mtera)
Tunataka kupitia mkutano wenu serikali iheshimu taaluma za watu lakini pia iache ufisadi na matumizi mabaya ya pesa,maana kutokuwalipa madaktari wa intern na malipo mbalimbali yanayodaiwa na wafanya kazi ni matokeo ya kutumia pesa kwenye sherehe za uhuru miaka 50,matokeo ya utalii wa JK,Ufisadi mbali mbali.
Tena nasema hivi mgomo is the right decision
 
hii nchi vijana wanahitaji kutambua kwamba wazee ndio wanyonyaji wakubwa. Ninaowaona hapa ni vijana kuanzia 40s na kushuka chini,wazee wameridhika na hela za kwenye vijiwe vyao huku wakiachia vjana kufanya kazi masaa24 kwa malipo madogo,mazingira mabovu. Hii nchi ni yetu,vijana amkeni
 
hii nchi ngumu sana. Waziri amekacha ukumbi uliochaguliwa na kutafuta wa kwake na kuwataka madactari wamfuate. What kind of hell z this? Yaani waziri ametangaza kukutana na doctorz pale watakapopanga aafu anawapa nusu saa wamfuate anakotaka yeye? Alipewa taarifa ya ukumbi mapema,kwa nn hakutoa taarifa mapema? Nusu saa kabla ndo anatoa taarifa,huu ujinga gani? Anaweza kuwa amekodi ukumbi kwa muda wa kumtosha yeye tu kuongea na akimaliza kuongea pumba mnatolewa kwa nguvu ya wakabaji wa nchi hi? Madaktari wanakataa kabisa kumfuata. Hizi ni dharau!
 
MAT,MAT,MAT!boycott
Wil b a new way to mafanikio

unajua kuna makubaliano yalikuwepo toka 2007 mpaka leo hayajatekelezwa mpaka leo. Tunawapa nafasi ya mazungumzo wao wanatuingiza vidole mk...uni. Tumewasubiri wao wameamua kuleta polisi,hii nchi ngumu sana. Hamna shida,sie tutaendelea ni vikao vyetu endelevu!
 
Back
Top Bottom