YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Naomba kuuliza hivi karibuni Mameya wa CHADEMA walikutana Arusha kikao hicho kilikuwa cha kichama zaidi.
Swali langu posho zao za Safari na usafiri waliotumia waligharimiwa na halmashauri au waligharimiwa na chama?
Kama waligharimiwa na halmashauri warudishe hizo pesa haraka na wafunguliwe mashtaka.
Na waliohusika kuwalipa au kuwapa huduma kwa gharama za halmashauri iwe kuwapa magari nk wachukuliwe hatua wote kwa kutumia pesa na mali za halmashauri kwa mambo ya chama