Mkutano wa Mameya Chadema walilipwa Posho na halmashauri au CHADEMA?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,903
Naomba kuuliza hivi karibuni Mameya wa CHADEMA walikutana Arusha kikao hicho kilikuwa cha kichama zaidi.

Swali langu posho zao za Safari na usafiri waliotumia waligharimiwa na halmashauri au waligharimiwa na chama?

Kama waligharimiwa na halmashauri warudishe hizo pesa haraka na wafunguliwe mashtaka.

Na waliohusika kuwalipa au kuwapa huduma kwa gharama za halmashauri iwe kuwapa magari nk wachukuliwe hatua wote kwa kutumia pesa na mali za halmashauri kwa mambo ya chama
 
wameangalia mafaili ya mawaziri na manaibu mawaziri wakienda Dodoma kwenye mikutano ya CCM (au birthday ya CCM jijini Mbeya mwaka jana) wanalipwa na wizara au Lumumba kisha waka-copy na ku-paste. Therefore kama hawa Mawaziri na Manaibu waziri huwa wanalipwa na chama chao tu basi nao walilipwa na CHADEMA lakini kama huwa wanalipwa na wizara zao basi nao wamelipwa na halmashauri zao. Kitu simple kama hichi tu kinakusumbuaje?
 
Mmh wew bwana...ukitoka kuamka na akili yako inakuwa ya kimwendokasi.ndo umeandika nn ivii hata hueleweki yaan povuu zitoo afu point zakutafuta
 
wameangalia mafaili ya mawaziri na manaibu mawaziri wakienda Dodoma kwenye mikutano ya CCM (au birthday ya CCM jijini Mbeya mwaka jana) wanalipwa na wizara au Lumumba kisha waka-copy na ku-paste. Therefore kama hawa Mawaziri na Manaibu waziri huwa wanalipwa na chama chao tu basi nao walilipwa na CHADEMA lakini kama huwa wanalipwa na wizara zao basi nao wamelipwa na halmashauri zao. Kitu simple kama hichi tu kinakusumbuaje?

Umemjibu kistaraabu sana....kama ana akili ameelewa
 
Hata wakilipwa na halmashaur kwen wanaenda kujichotea wenyewe si kuna kamchakoto ka kisheria mpaka kuja kuzipata hzo hela?....mim huwa napenda sana yale maneno kwenye noti .*FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILINGI...*bila kujali kama aliyelipwa ni muhusika au laa.
 
wameangalia mafaili ya mawaziri na manaibu mawaziri wakienda Dodoma kwenye mikutano ya CCM (au birthday ya CCM jijini Mbeya mwaka jana) wanalipwa na wizara au Lumumba kisha waka-copy na ku-paste. Therefore kama hawa Mawaziri na Manaibu waziri huwa wanalipwa na chama chao tu basi nao walilipwa na CHADEMA lakini kama huwa wanalipwa na wizara zao basi nao wamelipwa na halmashauri zao. Kitu simple kama hichi tu kinakusumbuaje?
Sasa wewe badala ya kupinga Mawaziri kulipwa hela za walipa kodi, unahalalisha CHADEMA kutumia pesa za Walipa kodi. Hebu jiongeze kidogo ujue unachosimamia!
 
......punguza kuvuta Shisha utanielewa. Hapa hakuna upande niliouunga mkono. Jibu limekaa kifalsafa zaidi. Kama wewe ni wa shule za kata huwezi kunielewa ni beyond your reasoning capacity. Kiufupi, katazo hilo liende kwa mameya wote nchini pale wanapoenda kuhudhuria vikao vya kichama but kwa mshangao wangu ntoa post ka-specify mameya wa UKAWA tu
 
Shisha nini hivi?!?! Maana mwenzangu unaijua mi nipunguze sasa wewe acha kabisa!
 
Sasa wewe badala ya kupinga Mawaziri kulipwa hela za walipa kodi, unahalalisha CHADEMA kutumia pesa za Walipa kodi. Hebu jiongeze kidogo ujue unachosimamia!
Sasa wewe una ushahidi kama wamelipwa hizo pesa?
 
wameangalia mafaili ya mawaziri na manaibu mawaziri wakienda Dodoma kwenye mikutano ya CCM (au birthday ya CCM jijini Mbeya mwaka jana) wanalipwa na wizara au Lumumba kisha waka-copy na ku-paste. Therefore kama hawa Mawaziri na Manaibu waziri huwa wanalipwa na chama chao tu basi nao walilipwa na CHADEMA lakini kama huwa wanalipwa na wizara zao basi nao wamelipwa na halmashauri zao. Kitu simple kama hichi tu kinakusumbuaje?
Birthday ya ccm mwaka Jana Mbeya, kweli chadema kichwa cha panzi
 
Mnatulundikia mara polepole, mara makondra, mkidhani mnaliweza gem, wasimamizi wa fedha za wananchi (madiwani na mameya) wataminyoosheni ccm mpaka mkome!!!
 
Back
Top Bottom