Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

siumeona Vimon katoweka?analea ubabaishaji tuu wajameni,i dare to say Vimon ni mpayukaji bana,hana jipya,madokta wote are happy now system in Action,na kama mtamwona Vimon tena,
 
ila Kikwete mtamkumbuka siku EL akishika nchi,bora hata na Makamba Juniour awe President than.......
vimon wenu yu wapi???????
 
hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,

umetokea wapi wewe?unadiriki kupotosha mchana peupe,mgomo uliopita ulianza/ukafanikiwa licha upotoshaji kutoka kwa watu kama wewe...inaelekea bado somo hamjalielewa
 
siumeona Vimon katoweka?analea ubabaishaji tuu wajameni,i dare to say Vimon ni mpayukaji bana,hana jipya,madokta wote are happy now system in Action,na kama mtamwona Vimon tena,

acha upotoshaji wewe,vmoni yupo sahihi,wengine tunafuatilia live,kuna closed group discussion wewe hauwezi ku access
 
Kuna kitu kitaua solidarity kwa DR's wa ukweli,kuna mamruki wamepandikizwa ambao watakuja na hoja kuwa JK ameshasema kwenye hotuba yake kuwa tuwape mda watashugurikia madai yao,,,msipokomaaa mtatoana kafara so watch out brother and sisters(DONT GIVE UP)
 
siumeona Vimon katoweka?analea ubabaishaji tuu wajameni,i dare to say Vimon ni mpayukaji bana,hana jipya,madokta wote are happy now system in Action,na kama mtamwona Vimon tena,
Vimon mbona yupo?
 
Ni vema jukwaa likatawaliwa na busara. Masihara katika hili hayana faida kwani mwisho wa yote maamuzi ya waliopo kwenye kikao yatajulikana na huenda katika victims wakawa ni baadhi ya tunao kejeli hapa
 
simu ilipigwa kama dakika 20 zilizopita kupata uhakika kama bwana mponda na lucy wameachia ngazi lakini inaonekana majibu ni kuwa wapo ofisini,wachiangiaji wengi wamejenga hoja kuhu kuboresha afya za watanzania,imetolewa nifano mgonjwa amekufa hivi karibuni kwa kukosa oxygen na adrenaline (dawa ya dharura) mbele ya madaktari bingwa,wamehoji shida ya raisi kushindwa kumwajibisha waziri na naibu,kwa kifupi madaktari wapo tayari kuendelea na kazi iwapo hawa wataondolewa.
mwiba ni waziri mponda na naibu wake,madaktari wanatambua kuwa serikali inafanya siasa kwenye afya za wananchi wake,napia wanajuwa TBC inatumiwa vibaya kupotosha umma,wanasisitiza wananchi wanapotoshwa juu ya wao kuwatenga kada nyingine na kuwa wanapenda pesa lakini,wanatete mstakabali mzima waAfya za watanzania.
Madaktari ni wasomi ukiwasiliza unahisi saa ya ukombozi ni sasa,solidarity forever
 
seriously frm kikwetee goverment i expect nothing...
 
Nilimwambia ulimboka kwenye simu kaka yangu mtakuwa wapuuzi na wajinga kama mnamngoa yule malaika wa shetani blandina nyoni na kuacha yale machetani mawili dk mponda na mama lucy binafsi ningeona wafe millioni kwa kuondoka yule nmama na lusifa mwenzake na sio hilo wapelekwe mahakamani ..nashangaa tu porojo za kina mama nkya bado tunachunguza tunachunguza kama takukuru lipi la kuchukua muda wa kuchunguza jamani anyway nawatakia mkutano mema..ingwa mgomo wenu hatari
 
Serikal ya JK imeshindwa kuongoza,haiwezekan mpaka leo wafanyakaz na wahadhiri wa vyuo vikuu hatujapata mshahara.

Sasa mnasubiri nini kugoma? Mbona wenzenu mawaziri wanapata na marupurupu yao kama kawa?
 
dakika ishirini zimependekezwa mvutano kidogo ulitokea,lakini asilimia tisini 99% wanaunga mgomo uanze mara moja,ikumbukwe huu mkutano unawakilishi kutoka hospitali zote zilizoshiriki mgomo kcmc,bugando,mbeya,dodoma,haw jamaa sio wababaishaji.
Kama nayoripoti ni ya uongo handsome report kwa mod nifungiwe.
sifanyi siasa na wajulisha jukwaa la great thinker ndio maana sitaji majina ya wachangiaji.
 
Nimekuwa mhanga tayari. Nilikuwa hospitali moja hapa mjini namsubiri Dr. tukaambiwa anakuja saa nane tumekaa kuanzia saa sita kufika saa nane na dkk 45 jamaa anatuma msg kwamba haji ana dharura. Kwa kuwa ni physician wa Muhimbili nikajua jamaa anaendelea na mkutano! Nimejifuta makalio naenda kumeza panadol na muarobaini nisubirie rehema za maulana!
 
simu ilipigwa kama dakika 20 zilizopita kupata uhakika kama bwana mponda na lucy wameachia ngazi lakini inaonekana majibu ni kuwa wapo ofisini,wachiangiaji wengi wamejenga hoja kuhu kuboresha afya za watanzania,imetolewa nifano mgonjwa amekufa hivi karibuni kwa kukosa oxygen na adrenaline (dawa ya dharura) mbele ya madaktari bingwa,wamehoji shida ya raisi kushindwa kumwajibisha waziri na naibu,kwa kifupi madaktari wapo tayari kuendelea na kazi iwapo hawa wataondolewa.
mwiba ni waziri mponda na naibu wake,madaktari wanatambua kuwa serikali inafanya siasa kwenye afya za wananchi wake,napia wanajuwa TBC inatumiwa vibaya kupotosha umma,wanasisitiza wananchi wanapotoshwa juu ya wao kuwatenga kada nyingine na kuwa wanapenda pesa lakini,wanatete mstakabali mzima waAfya za watanzania.
Madaktari ni wasomi ukiwasiliza unahisi saa ya ukombozi ni sasa,solidarity forever

vimon maamuzi mengine zaidi ni yepi
 
Nimekuwa mhanga tayari. Nilikuwa hospitali moja hapa mjini namsubiri Dr. tukaambiwa anakuja saa nane tumekaa kuanzia saa sita kufika saa nane na dkk 45 jamaa anatuma msg kwamba haji ana dharura. Kwa kuwa ni physician wa Muhimbili nikajua jamaa anaendelea na mkutano! Nimejifuta makalio naenda kumeza panadol na muarobaini nisubirie rehema za maulana!

ebwana kitufe cha LIKE kimepotea duh
 
dakika ishirini zimependekezwa mvutano kidogo ulitokea,lakini asilimia tisini 99% wanaunga mgomo uanze mara moja,ikumbukwe huu mkutano unawakilishi kutoka hospitali zote zilizoshiriki mgomo kcmc,bugando,mbeya,dodoma,haw jamaa sio wababaishaji.
Kama nayoripoti ni ya uongo handsome report kwa mod nifungiwe.
sifanyi siasa na wajulisha jukwaa la great thinker ndio maana sitaji majina ya wachangiaji.
Mkuu ina maana kwa kifupi kabisa ni kwamba mgomo unaanza mara moja au? Manake kama 99% wanasema hivyo kwenye siasa tungesema ni ushindi wa kishindo lakini kwa kwa kuwa ni afya zetu sijui nitumie neno gani. Ushindi wa kushindo hauswihi hapo. Labda tu unonimous decision
 
Back
Top Bottom