Tetesi: Mkutano wa Lugumi na wanahabari waahirishwa, aenda kuhojiwa Dodoma

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Guys, Taarifa zilizopatikana hivi punde ni kwamba, ule mkutano wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi na waandishi wa habari umeahirishwa.

Mkutano huo ulikuwa ufanyike saa 6 (dakika mbili kutoka sasa) pale City Sports Lounge jijini Dar.

Sababu za kuahirishwa ni kwamba mmiliki wa kampuni hiyo ameitwa Dodoma kwenda kuhojiwa.

Keep informed.
 
Walisema kaenda Canada kwani kesharudi au ni wasidizi wake ndo walitaka ongea?
 
Walitaka kusema nini labda,hakuna aliyefanikiwa kuchungulia hiyo press paper yao?
 
Hiki ni kizungumkuti, mara oooh faili lipo TAKUKURU, sasa twaelezwa kaitwa kuhojiwa Dodoma. Anahojiwa na TAKUKURU au PAC?
 
Guys, Taarifa zilizopatikana hivi punde ni kwamba, ule mkutano wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi na waandishi wa habari umeahirishwa.

Mkutano huo ulikuwa ufanyike saa 6 (dakika mbili kutoka sasa) pale City Sports Lounge jijini Dar.

Sababu za kuahirishwa ni kwamba mmiliki wa kampuni hiyo ameitwa Dodoma kwenda kuhojiwa.

Keep informed.

Naona kama anakwenda kujifunza cha kusema! Jamaa kiwango kiko chini. Kweli pesa bila elimu inaweza kuwa fedheha.
 
Si magazeti yaliandika ametoroka nchi? Duh Tanzania nchi yangu mbona unaangamia kwa watu wako kukosa maarifa?
 
Sports Lounge posta karibu na Askari mzee?!! Mgahawa wakina Djuma Punto na Rizimoko moko wa kashfa??!!

Kijiwe cha kinq Lemutuz,kweli ndege wafananao hiruka pamoja,kashindwa hata kuvuka barabara tu hapo akaingia HABARI MAELEZO ama ndio jeuri ya pesa na kujaribu kuonyesha kuwa yupo na wala nchi??!!
 
Mkuu mbona unauliza nyavu baharini?
 
Back
Top Bottom