Mkutano wa Lowassa WADODA ile mbaya

Watu wanaogopa harufu ya kinyesi
 
hii picha ni ya asubuhi wakati watu wanaanza kuja....toa picha ya wakati yupo anahutubia...unajua mtiti wa watu ulikuja na mimi nilikuwepo...acha uwongo
 
Tukutane kesho kutwa ndo ccm mtajua sikikio halizidi kichwa
 
Hata kama mkutano ungekuwa na watu wawili - KURA yangu itaenda kwa LOWASSA tu. Hiyo ni kwa kuichukia CCM.
 
Kumbe mmekiri mzee huwa anvunja records kila mahali anapotia team,bhaaasi hiyo inatosha mpk mnashangaa watu wakiwa wachache, Fimbooo Chapaaa.
 
Umechoka wewe Mtu subiri tarehe 25 Oct ndio utajua
 
Kitu cha kwanza nikiamka najiuliza hivi leo sio jumapil ya tar 25 kweli?? Maana nina maasiraaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…