Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

mbona maguful alisema peoples huko mwanza na tunduma akaonesha ishara ya vidole viwili?

Embu linganisha, kusifia chama na kusia watu. Peoples power haimaanishi ukawa au chadema, ila CCM oyeee ,moja kwa moja unasifia chama. Ishara ya vidole viwili inamaanisha amani sio chadema.
 
Lini? Acha uongo! Mgombea wenu ni ticking bomb mnatembea naye ngoja awalipukie!

Siyo uongo! Nimemshudia live mbeya!
Alisema peoples! ! ! !

Halafu akiwa anaondoka vijana wanaonesha ishara ya chadema naye akafanya hivo hivo! ! ! !
 
Kama ni kweli hilo lilitokea jana Nzega Lowasa akiwa jukwaani.

Tunaomba mthibitishe.

Alafu ndo tuendelee na mjadala. Alimaanisha, bahati nzuri, CCM bado iko damuni, au slip of the tongue.

Source: RFA magazetin.
 
embu linganisha, kusifia chama na kusia watu. Peoples power haimaanishi ukawa au chadema, ila ccm oyeee ,moja kwa moja unasifia chama. Ishara ya vidole viwili inamaanisha amani sio chadema.

una utindio wa ubongo .kama haimanishi chadema je, ccm na mwenyekiti wako aliwahi kutamka mara ngapi ktk kikao cha ccm!? Jiongeze hapo ulipo wew kilaza
 
Kama ni kweli hilo lilitokea jana Nzega Lowasa na mjadala. tongue.

Source: RFA magazetin.
Alimanisha si bado mwanachama, ametolewa kwa mkopo atarudi.
 
Haaa kuchanganya kwenye matamshi ipo,mbona makamba akisema Lowassa amehamia CCM mpaka akaja mtu na kikaratasi ndio akasema amehamia UKAWA ,pili mtangazaji wa Azam Ndugu Yahya Mohammed alishawahi kusema unaangalia Star Tv wakati ilikuwa Azam Two.
 
embu linganisha, kusifia chama na kusia watu. Peoples power haimaanishi ukawa au chadema, ila ccm oyeee ,moja kwa moja unasifia chama. Ishara ya vidole viwili inamaanisha amani sio chadema.

kwanza wa kwetu alijisahau kwakuwa ni mjeni je maguful nae ni mgeni huko ccm? Mm naonaga yupo kimwil ccm ila kiroho yupo ukawa ndo mana kila styl ya ukawa anaiga tu.
 
Yule lowassa kimwili ukawa ila kiroho bado ni ccm...ccm ipo damuni tu!...kuiangusha ccm..na kumuacha lowassa awe raisi ni sawa kutwanga maji kwenye kinu😂😂😂
 
Haaa kuchanganya kwenye matamshi ipo,mbona makamba akisema Lowassa amehamia CCM mpaka akaja mtu na kikaratasi ndio akasema amehamia UKAWA ,pili mtangazaji wa Azam Ndugu Yahya Mohammed alishawahi kusema unaangalia Star Tv wakati ilikuwa Azam Two.

Ni kweli, hilo la Makamba hata mimi nilisikia.
 
Haaa kuchanganya kwenye matamshi ipo,mbona makamba akisema Lowassa amehamia CCM mpaka akaja mtu na kikaratasi ndio akasema amehamia UKAWA ,pili mtangazaji wa Azam Ndugu Yahya Mohammed alishawahi kusema unaangalia Star Tv wakati ilikuwa Azam Two.
Savimbi mbona wewe uanavaa gwanda halafu EL Hutaki kumuazima?
 
Haaa kuchanganya kwenye matamshi ipo,mbona makamba akisema Lowassa amehamia CCM mpaka akaja mtu na kikaratasi ndio akasema amehamia UKAWA ,pili mtangazaji wa Azam Ndugu Yahya Mohammed alishawahi kusema unaangalia Star Tv wakati ilikuwa Azam Two.
Mifano yako haiendani. Kwani Makamba anagombea urais?
 
Me nashindwa kuelewa mpaka sasa watanzania hawaamini kuwa lowasa anaweza kuleta mabadiliko.watanzania tusiyumbishwe na watu wachache wasio kuwa na uchungu na nchi yao mabadiliko yanawezekana na mabadiliko hayo yanatoka nje ccm
 
hiyo ya kukosea inatokea. zitto aliwahi kukosea akiwa songea badala ya kusema act akawa anasema chademaa....
 
Jamani kuna watu wanamkufuru mungu sana wanasema washindia mambo mihogo. Sasa nimeamini siasa zetu zimekuwa za majitaka
 
Back
Top Bottom