Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
25,975
Reaction score
25,288
Ni Mabadiliko....

OTH_7978.jpg

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, wakati akinadi sera zake katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.

OTH_7826.jpg

Chopa ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, leo Septemba 6, 2015.
OTH_7876.jpg


OTH_7633.jpg

Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.

OTH_7668.jpg

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.

OTH_7937.jpg


.
OTH_7953.jpg



OTH_7655.jpg


OTH_7901.jpg
 
Safi sana wao wanajaza watu Kisa ni comedy ya joti na Masanja
 
....

......dadadek hapo ni Hoja za Nguvu tu sio matamasha !!!
 
Haya ndio CHADEMA wanatakiwa ku focus nayo, sio kujibu press conference za viongozi wa zamani wanabishana sijui na wake zao wa zamani na Tundu Lissu. Sijui kwa nini kina Mbowe na uzoefu wote ule hawayajui haya.
 
Peoples!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haya ndio CHADEMA wanatakiwa ku focus nayo, sio kujibu press conference za viongozi wa zamani wanabishana sijui na wake zao wa zamani na Tundu Lissu. Sijui kwa nini kina Mbowe na uzoefu wote ule hawayajui haya.

cc Tumaini Makene, Tundu Lissu, Kamanda Mbowe - pigeni vita uwanjani; wapuuzeni wanaolalamika wakiwa vyumbani...
 
Hivi huko si ndiko kwa Bashe ambaye kimwili yupo Sisiem lakini kiroho yupo Ukawa?

Kwa nyomi hizo anazozipata Edo kila aendako nchini ni vyema maccm wakajiandaa tu kisaikolojia ili kukabidhi madaraka kwa amani ifikapo Oktoba mwaka huu.
 
Peoples sssssssssss Power tunasonga mbele , na hizo ni picha za kuchongaaaaaaa ? Watu wamechoka, CCM hamna jipya tunataka uhuru wa maendeleo, sio wa Umaskini, miaka 54 inatosha. Si tumeona Kenya ? Wanasema wenyewe, ingekuwa KANU Leo hii Nairobi isingekua na Superhighway na sisi tunataka hatutaki magumashi tena
 
Mh. EL bado anamahaba na CCM, nasikia akajisahau hapo nzega na kusema "CCM oyeee"(chanzo magazeti RfA.)
 
Back
Top Bottom