Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Tuombe mungu mbinu zao na fitina zote chafu zidi ya CHADEMA zishindwe....
 
Ushindi ni wachadema mapema, picha hii ya leo
chade 3.jpg
 
Regina Mwaleko wa clouds FM alikuwa akiripoti live kutoka Igunga na amesema kwamba mkutano wa CDM umejaa watu wengi sana na kupelekea CCM na CUF kukosa watu kwenye mikutano yao. Hivi sasa makamanda wanajitambulisha na kuhimiza wananchi wa Igunga kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura. Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki Tanzania

Habari hizo zinatia moyo.Yawezekana kabisa kwa 99.999999% ifikapo tarehe 3 Oktoba,2011 CHADEMA watakuwa na Mbunge mpya toka wilayani Igunga. This will be IF AND ONLY IF hakuna UCHAKACHUAJI. Mungu ibariki Igunga,CHADEMA,Wanachama na wafuasi wake,Mungu ibariki Tanzania!
 
Saa ndio hii;
Nguvu ya UMMA haijui Mkapa, Msekwa wala BAKWATA!
Safari ya 2015 hiyooooooooooo!
 
Umepata dawa ya kuacha kupiga puri kijana?
mkuu naona ilo swali lako c mahali pake kaulizie kulekule ntakujibu,ila ukweli ni kuwa kafumu anaenda bungeni kesho tena kwa kishindo cdm subiri nafasi ya tatu igunga sio kilimanjaro!
 
Na hapo ndipo ulipo umuhimu wa shughuli hii ya Igunga; kuamsha matumaini, ili yajapo maboresho ya daftari la kudumu, vijana wajiandikishe zaidi tayari kwa fainali (ya upande mmoja) 2015!
 
Naipenda sana jf, coz ata nikiwa mbali nnauhakika wa kupata habari za kina na kweli, natoka leo ucku Nairobi kurudi Mwanza ila nadhani nnajua all the things zilizojili Igunga, nawapongeza sana wana jf, nadhani inabidi mod na wenzie wafungue tv stashion sababu aya ma tv ya bongo hayatutendei haki, kama unabisha angalia leo kama utauona uo mkutano wa CDM.
 
mkuu naona ilo swali lako c mahali pake kaulizie kulekule ntakujibu,ila ukweli ni kuwa kafumu anaenda bungeni kesho tena kwa kishindo cdm subiri nafasi ya tatu igunga sio kilimanjaro!

hivi nyie mnaotaka kuwagawa watanzania kwa kanda au makabila siku hiyo nia yenu ikitimia mtafaidikaje? Nani kakwambia ccm inapendwa kila mahali? Mbona viongozi wake wanazomewa maeneo mbalimbali ya nchi hii?
 
Ni kweli CCM wanaweza kuwa wanaiba kura lakini pia nafikiri mashabiki wetu ni watu waliokata tamaa, vijana wa vijiweni ambao wengi wao hawajajiandiksha.
Kumbe unajua mmekata tamaa? Mtapangaje mikakati ya ushindi? Ni kweli asilimia kubwa ni vijana wa kijiweni hawana shughuli.
 
Yap ni kwel nimeona pc za igung kwenye mkutano wa cdm ni nyomi ya kufa m2 na nina rafk yangu ambaye ameenda huko imebd nimcal akanithbtishia hlo. Yote tisa kumi je wana kad za kupiga kura? Na je watajitokeza kupiga kura?
 
GOD help us so that we can redeem Tanzanians from corrupt, talentless, unpatriotic, and thoughtless leaders. By providing ur shadow to Igunga people so that no body even army can prevent them from raising their voices to tell this corrupt administration that things're no longer at ease. Thank you!
 
Back
Top Bottom