HA! HA! HA! HA! kamanda UMEYAMALIZA MAGAMBA VIBAYA MNO !
Nipo Mbeya, nimepishana na malori yaliyokuwa yanasomba watu hapa Mama JohnFuso zilikuwa zinasomba watu lakini raia wamegoma kupanda magari aina hiyo wanataka v8
Bravoo
Kuna huyo Tuntemeke anadanganya watu ya kuwa wa Dr Slaa umedoda Kahama hana hata haya
Wamejaa wanachama wa ccm tu ... na hao watakuwa wamepigwa mkwara kuwa ambaye hatahudhuria hatapata mgao wake wa tishirt na kanga mwisho wa mwaka....
Fuso zilikuwa zinasomba watu lakini raia wamegoma kupanda magari aina hiyo wanataka v8
Kwa hiyo hata walio lipiwa fedha malori ili waweze kusombwa nao wamegoma Zambi amesahau kwamba kila siku wanamliza hapo mbeya Tunduma walitoa watu mbarali kwela chunya kuwapeleka huko najiuliza kitu gani kimempataKinana hatasahau leo apa mbeya kwa nguvu aliotumia na idadi ya wahuzuliaji hapana ccm wamefanyiwa hujuma sio bure
kadanganyeni wajinga wenzenuHuu NDIO MKUTANO WA MBEYA LEO, UNAWEZA KUONA PICHA ZOTE KWENYE MICHUZI BLOGG, MKUTUNA ULIKUWA MKUBWA SANA.
NUFAIKA HAPA : MICHUZI BLOG