Mkutano wa hadhara Songea trh 10.04.2015

Mkutano wa hadhara Songea trh 10.04.2015

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
883
Reaction score
338
Chama cha wazalendo @ACT-Wazalendo watakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 10-04-2015 mjini Songea Mkoani Ruvuma. Wataingia Songwa kufyeka mapori ya unyonyaji Rushwa na mambo mengi na kuwajengea uzalendo wanamajimaji Songea ina historia kubwa katika kupigania uhuru sasa ACT imekuja kurudisha misingi iliyoasisiwa na waasisi wetu.
 

Attachments

  • 1428246938533.jpg
    1428246938533.jpg
    78.7 KB · Views: 832
Duh, yaani hadi Afande Sere nae amepata shavu la kuwa mzungumzaji wa Kitaifa, kweli kazi ipo
 
Duh, yaani hadi Afande Sere nae amepata shavu la kuwa mzungumzaji wa Kitaifa, kweli kazi ipo

Kazi yake ni kuivuta hadhira ijongee kikaoni ili fanani(Zitto) awatongoze.
 
Sawasawa.Mgombea urais wenu na mfadhili wenuMr Full Whitehead atakuwepo?
Au bado anapiga hesabu?
 
Mfadhili ni mtanzania yeyote aliyouvaa uzalendo na mwenye nia njema na taifa hili
 
Dua la kuku hamlimpati mwewe ACT kamwe haiwezi kufa ila kwa uwezo wa Mungu tu
 
Uwezo ndio unambeba mtu na kujifunza pia hakuna aliyezaliwa anafanya vizuri
 
Hivi songea nako kuna waha? Anyway nendeni mkajaribu kuwarubuni ndugu zangu wangoni.
 
Anakaribishwa tu na yeye maana ni mwanachama wa ACT Marire
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom